Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Hii mitaa huwa ni Mungu tu anaepusha ajali ni hatari sana, nyumba ziko karibu sana na barabara, jioni hasa kuanzia saa moja kuna ombaomba wegi sana, tena vingine ni vitoto vidogo vinazurura ovyo, sasa kibaya mabasi ya mwendo kasi kwakuwa ni barabara yao mwendo wanaotembea kwakweli si rafiki kabisa, yaani kama una ma stress yako ya familia usipende sana kukatiza hayo maeneo.
Ulichoandika sahihi kabisa, kama uongozi wa DAT, wanasoma hii unatakiwa kuwadhiti madereva, barabara iko karibu sana na makazi, madereva wanatakiwa kuendesha gari pole pole, siyo muda wote kasi tu bila kuangalia mazingira Derefa anayopita eti tu sababu watu wanaita mwendo kasi.
 
Halafu utakuta huyu dereva bado ana leseni yake na bado yupo kwenye hiyo kampuni anafanya kazi. Upumbavu kabisa.

Huyo akamatwe, afutiwe leseni akaombe upya na afukuzwe kazi kabisa katika taasisi yoyote ya Serikali asijekuajiriwa. Na akome kabisa.

Ni Simu sisi mbona tunakunywa na tunaendesha hapahapa Dar tena nite mbaya😎

Juzi afande IGP ametoka kuongelea haya mambo ya ajali na competency ya madereva wa vyombo vya moto
Angalieni video hii ya chanzo cha ajali hapo dereva wa mwendokasi hana makosa aisee
 
Attachments

  • Katika maelezo ya hii ajali mnasema kwamba watu wamepata majeraha na hakuna kifo tujaribu kuji...mp4
    1.2 MB
Ulichoandika sahihi kabisa, kama uongozi wa DAT, wanasoma hii unatakiwa kuwadhiti madereva, barabara iko karibu sana na makazi, madereva wanatakiwa kuendesha gari pole pole, siyo muda wote kasi tu bila kuangalia mazingira Derefa anayopita eti tu sababu watu wanaita mwendo kasi.
Angalia video apo juu mkuu nani mwenye makosa
 
Mpeni pole dereva wakuu kosa sio lake kuna gari ndogo ilichomeka ghafla ikabd akwepee upande huo mana upande aliokuewpo nasikia kulikua na watoto wadogo...

Wote tunajua ugumu uliopo kugongesha upande wako ila jamaa kajitoa kafara watoto wapone.... Hakua kalewa
Kwani amekufa?
 
Back
Top Bottom