HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Watanzania ndo walivyoWengi walikoment kwa kuhukumu biLa hata ya kutumia akili ya ziada wameanza kumpa malalamiko dereva wa mwendo kasi tuna safar ndefu kama nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania ndo walivyoWengi walikoment kwa kuhukumu biLa hata ya kutumia akili ya ziada wameanza kumpa malalamiko dereva wa mwendo kasi tuna safar ndefu kama nchi
KabsaWatanzania ndo walivyo
Imagine bata na kale kakichwa kale chake kalivo kadogo ila anakuzidi akili your head is 30times larger than a bata head ila kwa maoni yako haya am sure humzidi akiliNimekuwa nikifuatilia madereva wanaosababisha ajali, hasa za usafiri wa uma, nimegundua kuwa wote ni wanaume. Wanawake wapo makini sana wawapo kazini, huwezi kukuta mwanamke anakunywa pombe na kuendesha. Ningependekeza madereva wa usafiri wa uma wawe wanawake
Mkuu nchi nzima ina madereva wanawake 3? Nimesema angalia sector zote mbili; yaani binafsi na serikalini, kwa kuwa ajali ni ajali. Ajali hazitofautiani kati ya sector binafsi na serikalini.Sasa una madereva wa kike 3, huku una madereva wa kiume 300 halafu usifie hawa watatu hawajafanya ajali ila hawa 300 wanne wamefanya ajali. Anyway uko sawa.
Huyo hatakaa abarizi tena maishani mwake na hata kizazi chakeHuyo mwamba kakaa kwenye kiti katoka speed ya ajabu
Ova
Kwani nchi nzima ina madereva wanaume 300? Ni mfano tu. Anyway unaweza kuwa sahihi.Mkuu nchi nzima ina madereva wanawake 3? Nimesema angalia sector zote mbili; yaani binafsi na serikalini, kwa kuwa ajali ni ajali. Ajali hazitofautiani kati ya sector binafsi na serikalini.
Kuna huyo jamaa hapo alikuwa anatembea! Dah sidhani kama kapona maana dizaini kama kabanwa hivi! Eeh MUNGU saidia awe amepona!Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St.
Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala
Ukiangalia picha kwa umakini utaona baadhi ya virago vya kulalia ombaomba. Tuombe Mungu pasiwepo na madhara ya uhai.
====
Basi la Mwendokasi leo February 22, 2023 limepata ajali eneo la makutano ya Jamhuri na Morogoro baada ya kugongana na gari ndogo kisha kuparamia ukuta wa duka likijaribu kulikwepa. Imeripotiwa kutokea majeruhi kadhaa.
View attachment 2526152
View attachment 2525990
View attachment 2525762
Dah mwamba amekufa vibaya sana. Mungu amrehemu.Alimkwepa aliyekatiza bila tahadhariView attachment 2526160
Binafsi siwezi panda bus lolote au usafiri wowote anaeendesha mwanamkeSio usafiri wa UMMA tu... hata usafiri binafsi. Wanawake wapo makini labda kwa sababu ni waoga na ni watunzaji wa mali. Wana madudu yao mengine ila katika hili wanastahili pongezi na nafkiri fursa ya ajira kwa upande wa usafiri wa UMMA wapewe wanawake tu. Sisi tubaki na upumbavu wetu.
Na wimbi la jobless kwa upande wa ME husababishwa na wapumbavu wachache wa aina ya huyo jamaa. Inapelekea kuponza wenzake wengine.
Wazo lako ni zuri sana kiongozi. Ni vyema wahusika wakaliona na kulipeleka.
😳😳 Mkuu upo serious kweli? Hivi kwa hiyo direct impact na damage iliyotokea hapo unafikiri mtu anatoka mzima?kuna huyo jamaa hapo alikua anatembea!dah sidhani kama kapona maana dizaini kama kabanwa hvi!eeh MUNGU saidia awe amepona!
Ni kama kazolewa vileYule babu sidhani kama kapona aisee maana kapelekewa kule kule
dah sad😳😳 Mkuu upo serious kweli? Hivi kwa hiyo direct impact na damage iliyotokea hapo unafikiri mtu anatoka mzima?
Hapo wanaokota tu vipande vipande vya nyama na mifupa.
Aisee nimesisimka[emoji3064] kwa wogaBasi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St.
Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala
Ukiangalia picha kwa umakini utaona baadhi ya virago vya kulalia ombaomba. Tuombe Mungu pasiwepo na madhara ya uhai.
====
Basi la Mwendokasi leo February 22, 2023 limepata ajali eneo la makutano ya Jamhuri na Morogoro baada ya kugongana na gari ndogo kisha kuparamia ukuta wa duka likijaribu kulikwepa. Imeripotiwa kutokea majeruhi kadhaa.
View attachment 2526152
View attachment 2525990
View attachment 2525762
Hii imenikumbusha zamani mambo ya tungi nlikuwa napenda kukaa kwenye viti vinavyowekwa pembezoni mwa Road...mk bar hyo siku nasema niende washroom nyuma huku nasikiaa yalaaaahhh gari imeacha njiaHuyo hatakaa abarizi tena maishani mwake na hata kizazi chake
Kwani video haujaiona?Kwenye eneo la ajali huwa watu wengi wanasema la kwao.
Kinachostua ni namna hiyo ajali ilivyotokea ambapo gari imehama upande kabisa na kuharibu miundombinu kabisa
Ajali ni ajali awe mwanamke au mwanaumeBinafsi siwezi panda bus lolote au usafiri wowote anaeendesha mwanamke
Ndo wale anaona bus Lina overtake yeye anaachia steling anafunga macho na mkono, hawana maamuzi ya haraka hawawezi kujiongeza labda kujiongeza kwenye mabwana wenye hela.
Watanzania ndivyo tulivyo, huwa tunasoma mstari wa chini ndipo tunapanda juu, hata hotelini tunasoma menu kuanzia kwenye bei ndipo tutafute aina ya mloWatu wanahukumu kweli kweli wakati video inatoa picha halisi ya tukio zima tusipende kuhukumu.