Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Nimekuwa nikifuatilia madereva wanaosababisha ajali, hasa za usafiri wa uma, nimegundua kuwa wote ni wanaume. Wanawake wapo makini sana wawapo kazini, huwezi kukuta mwanamke anakunywa pombe na kuendesha. Ningependekeza madereva wa usafiri wa uma wawe wanawake
Imagine bata na kale kakichwa kale chake kalivo kadogo ila anakuzidi akili your head is 30times larger than a bata head ila kwa maoni yako haya am sure humzidi akili
 
Watu wanahukumu kweli kweli wakati video inatoa picha halisi ya tukio zima tusipende kuhukumu.
 
Sasa una madereva wa kike 3, huku una madereva wa kiume 300 halafu usifie hawa watatu hawajafanya ajali ila hawa 300 wanne wamefanya ajali. Anyway uko sawa.
Mkuu nchi nzima ina madereva wanawake 3? Nimesema angalia sector zote mbili; yaani binafsi na serikalini, kwa kuwa ajali ni ajali. Ajali hazitofautiani kati ya sector binafsi na serikalini.
 
Mkuu nchi nzima ina madereva wanawake 3? Nimesema angalia sector zote mbili; yaani binafsi na serikalini, kwa kuwa ajali ni ajali. Ajali hazitofautiani kati ya sector binafsi na serikalini.
Kwani nchi nzima ina madereva wanaume 300? Ni mfano tu. Anyway unaweza kuwa sahihi.
 
Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St.

Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala

Ukiangalia picha kwa umakini utaona baadhi ya virago vya kulalia ombaomba. Tuombe Mungu pasiwepo na madhara ya uhai.

====
Basi la Mwendokasi leo February 22, 2023 limepata ajali eneo la makutano ya Jamhuri na Morogoro baada ya kugongana na gari ndogo kisha kuparamia ukuta wa duka likijaribu kulikwepa. Imeripotiwa kutokea majeruhi kadhaa.

View attachment 2526152

View attachment 2525990

View attachment 2525762
Kuna huyo jamaa hapo alikuwa anatembea! Dah sidhani kama kapona maana dizaini kama kabanwa hivi! Eeh MUNGU saidia awe amepona!
 
Sio usafiri wa UMMA tu... hata usafiri binafsi. Wanawake wapo makini labda kwa sababu ni waoga na ni watunzaji wa mali. Wana madudu yao mengine ila katika hili wanastahili pongezi na nafkiri fursa ya ajira kwa upande wa usafiri wa UMMA wapewe wanawake tu. Sisi tubaki na upumbavu wetu.

Na wimbi la jobless kwa upande wa ME husababishwa na wapumbavu wachache wa aina ya huyo jamaa. Inapelekea kuponza wenzake wengine.

Wazo lako ni zuri sana kiongozi. Ni vyema wahusika wakaliona na kulipeleka.
Binafsi siwezi panda bus lolote au usafiri wowote anaeendesha mwanamke

Ndo wale anaona bus Lina overtake yeye anaachia steling anafunga macho na mkono, hawana maamuzi ya haraka hawawezi kujiongeza labda kujiongeza kwenye mabwana wenye hela.
 
kuna huyo jamaa hapo alikua anatembea!dah sidhani kama kapona maana dizaini kama kabanwa hvi!eeh MUNGU saidia awe amepona!
😳😳 Mkuu upo serious kweli? Hivi kwa hiyo direct impact na damage iliyotokea hapo unafikiri mtu anatoka mzima?

Hapo wanaokota tu vipande vipande vya nyama na mifupa.
 
Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St.

Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala

Ukiangalia picha kwa umakini utaona baadhi ya virago vya kulalia ombaomba. Tuombe Mungu pasiwepo na madhara ya uhai.

====
Basi la Mwendokasi leo February 22, 2023 limepata ajali eneo la makutano ya Jamhuri na Morogoro baada ya kugongana na gari ndogo kisha kuparamia ukuta wa duka likijaribu kulikwepa. Imeripotiwa kutokea majeruhi kadhaa.

View attachment 2526152

View attachment 2525990

View attachment 2525762
Aisee nimesisimka[emoji3064] kwa woga
Mungu awaponye majeruhi

Mungu atuepushe mbali na ajali[emoji120]
 
Huyo hatakaa abarizi tena maishani mwake na hata kizazi chake
Hii imenikumbusha zamani mambo ya tungi nlikuwa napenda kukaa kwenye viti vinavyowekwa pembezoni mwa Road...mk bar hyo siku nasema niende washroom nyuma huku nasikiaa yalaaaahhh gari imeacha njia
Ikawagusa watu...mwinjumq Road hyo
Nkajirudia kuwa mzee wa kaunta tu

Ova
 
Binafsi siwezi panda bus lolote au usafiri wowote anaeendesha mwanamke

Ndo wale anaona bus Lina overtake yeye anaachia steling anafunga macho na mkono, hawana maamuzi ya haraka hawawezi kujiongeza labda kujiongeza kwenye mabwana wenye hela.
Ajali ni ajali awe mwanamke au mwanaume
Juzi juzi kimara huko lori liliacha njia
Ikawafata jamaa pembeni 3 walikufa hapo hapo

Ova
 
Back
Top Bottom