Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Halafu nasikia kumbe 85% ya Madereva ni Wajeda na Jana Wajeda wote wamepokea Mishahara yao hivyo yawezekana Usiku aliutwika sana na kaamka nazo hivyo bado kuwa na Usingizi na kufanya hiki alichokifanya.
Wanajeshi wale wa kipindi kile cha uzinduzi na kipindi mzee yuko hai nafkiri ni tofauti na hawa. Sina hakika sana kama ni kweli wanajeshi. Na hapa ndipo nabishanaga na watu.

Jeshini kikuu hutazamwa na kufundishwa ni NIDHAMU! sidhani kama huyo na hawa madereva wa sasa hivi ni wanajeshi maana hakuna nidhamu kabisa hivi sasa.
 
Sio usafiri wa UMMA tu... hata usafiri binafsi. Wanawake wapo makini labda kwa sababu ni waoga na ni watunzaji wa mali. Wana madudu yao mengine ila katika hili wanastahili pongezi na nafkiri fursa ya ajira kwa upande wa usafiri wa UMMA wapewe wanawake tu. Sisi tubaki na upumbavu wetu.

Na wimbi la jobless kwa upande wa ME husababishwa na wapumbavu wachache wa aina ya huyo jamaa. Inapelekea kuponza wenzake wengine.

Wazo lako ni zuri sana kiongozi. Ni vyema wahusika wakaliona na kulipeleka.
Upi ni usafiri wa Umma? Mwendokasi ni shirika la Umma?
 
Hata wa STK, STL na ya namna hiyo ingekuwa hivi hivi.

Bila katiba mpya yenye kuhakikisha maslahi yetu sote yanazingatiwa, tutayaona mengi na bado.

We jamaa hata dem akikukataaa utasema ije katiba mpya

Hivi hiyo katiba mpya itakuwa inawaamrisha mpaka watu jinsi ya kuvaa, kunywa, kutembea?
 
We jamaa hata dem akikukataaa utasema ije katiba mpya

Hivi hiyo katiba mpya itakuwa inawaamrisha mpaka watu jinsi ya kuvaa, kunywa, kutembea?

Ni kwa sababu ya umbumbu wako tu ndiyo maana huwezi kuona.

Kwamba hujui kuwa tunataka katiba yenye kutuweka sote sawa mbele ya sheria? Utakuwa na matatizo makubwa zaidi wewe:

FnS4K20WQAAsw0m.jpeg
 
Ni kwa sababu ya umbumbu wako tu ndiyo maana huwezi kuona na mawezo yako kuwa kwenye mbususi kila wakati.

Kwamba hujui kuwa tunataka katiba yenye kutuweka sote sawa mbele ya sheria? Utakuwa na matatizo makubwa zaidi wewe:

View attachment 2526039

Kwani katiba ya sasa inaruhusu dereva kuendesha gari akiwa amelewa.?

Au katiba ya sasa inaruhusu ajali?

Ww ndio Jinga unashabikia mambo ambayo ujui

Ukisikia watu wanasema katiba mpya na ww unafata mkumbo,

Hiyo ajali na katiba mpya kuna mahusiano gani?
 
Tulia wewe usirukie treni kwa mbele, utasababisha ajali nyingine.

"Eti uzi huu wa ajali na katiba wapi na wapi?"

Hivi hata ulifahamu ma STK, STL au madereva wake yalikotokea wapi kwenye uzi huu?

Upumbavu mbona kweli ni kipaji? -- JKN.

Tambua hata mleta mada ametambua validity ila mburumundu wewe?
 
Hata kuandika mambo yanayoeleweka uwez then unajifanya unajua katiba mpya

Unashindwa kutofautisha katiba na hulka ya mtu

So katiba mpya italazimisha police wasimame ubungo kupima kilevi madereva STK?

Jinga Sana ww
 
Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St.

Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala

Ukiangalia picha kwa umakini utaona baadhi ya virago vya kulalia ombaomba. Tuombe Mungu pasiwepo na madhara ya uhai.

View attachment 2525990

View attachment 2525759View attachment 2525762
upande wangu hawa madereva wa mwendo kasi wanajiona spesho sana na kurelax wanapoendesha c wanapita peke yao.Hapo kama c tatizo hitilafu ya basi alizubaa mwenyewe.
 
Hata kuandika mambo yanayoeleweka uwez then unajifanya unajua katiba mpya

Unashindwa kutofautisha katiba na hulka ya mtu

So katiba mpya italazimisha police wasimame ubungo kupima kilevi madereva STK?

Jinga Sana ww

uwez. -- ndiyo nini?
ww -- ndiyo nini?

Kiingereza nacho hujui. Lugha za Facebook huko huku hazina nafasi!
 
Back
Top Bottom