Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

upande wangu hawa madereva wa mwendo kasi wanajiona spesho sana na kurelax wanapoendesha c wanapita peke yao.Hapo kama c tatizo hitilafu ya basi alizubaa mwenyewe.
Alikuwa anamkwepa wa gari dogo alikuwa anakatisha kama Kinyonga
 
IMG-20230222-WA0009.jpg
 
Hivi kwa nini hawataki kuweka mataa kwenye hizi njia.

Kwa sababu mchezo wa kukosakosana kati ya mwendokasi na magari binafsi huwa unatokea sana maeneo hayo

Au wanasubiri mpaka itokee ajali kubwa iwe msiba wa taifa
 
Wenye viberiti mpigwe marufuku kuingiza viberiti vyenu kwenye njia za magari.
 
Back
Top Bottom