Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Ulichoandika sahihi kabisa, kama uongozi wa DAT, wanasoma hii unatakiwa kuwadhiti madereva, barabara iko karibu sana na makazi, madereva wanatakiwa kuendesha gari pole pole, siyo muda wote kasi tu bila kuangalia mazingira Derefa anayopita eti tu sababu watu wanaita mwendo kasi.
 
Halafu utakuta huyu dereva bado ana leseni yake na bado yupo kwenye hiyo kampuni anafanya kazi. Upumbavu kabisa.

Huyo akamatwe, afutiwe leseni akaombe upya na afukuzwe kazi kabisa katika taasisi yoyote ya Serikali asijekuajiriwa. Na akome kabisa.

Ni Simu sisi mbona tunakunywa na tunaendesha hapahapa Dar tena nite mbaya😎

Juzi afande IGP ametoka kuongelea haya mambo ya ajali na competency ya madereva wa vyombo vya moto
Angalieni video hii ya chanzo cha ajali hapo dereva wa mwendokasi hana makosa aisee
 

Attachments

  • Katika maelezo ya hii ajali mnasema kwamba watu wamepata majeraha na hakuna kifo tujaribu kuji...mp4
    1.2 MB
Angalia video apo juu mkuu nani mwenye makosa
 
Kwani amekufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…