Sema kwenye ajali kila mtu anaangalia maisha yake; yule mwamba alipogundua alitakiwa akimbie huku.anapiga makele ya ajali na hivyo kumshitua yule aliyekuwa analifuata basi.Dah mwamba amekufa vibaya sana. Mungu amrehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kwenye ajali kila mtu anaangalia maisha yake; yule mwamba alipogundua alitakiwa akimbie huku.anapiga makele ya ajali na hivyo kumshitua yule aliyekuwa analifuata basi.Dah mwamba amekufa vibaya sana. Mungu amrehemu.
Hakuna nchi yenye wajinga wengi ulimwenguni kuizidi Tanganyika.Yaani Kuna watu wajinga humu. Hiyo gari ndogo iliyogonga basi hamuioni?
Hapo ndio utakapojua kila mtu na siku yake hapa duniani,kwa harakaharaka unaweza kumcheka yule aliekimbilia ukutani ukasema huyu ningekuwa mimi ningerudi nyuma au ningekimbilia upande wa kulia,wakati huyu naye kama isingekuwa kuuangalia magari yanayokuja saa nyingine saa hizi ingekuwa habari nyingine,hebu jaribu tu kuwaza kama angekuwa kainama anasoma gazeti ingekuwaje...Sijui kwanini wengi hawajaliona hili na video ya camera inaonesha wazi.
Iwapo dereva wa gari ndogo ya Rwanda air angesimama halafu mwendokasi ipite, kila mtu angekuwa salama kwenye hilo tukio.
Kuna muenda kwa miguu hapo sioni watu wakimuongelea, baba wa watu, sijui kama amepona.
Yule kaka aliyekuwa amekaa kwenye kiti alikimbia.
Hebu jaribu kuhesabu sekunde ilizochukua hiyo ajali kutokea. Ni sekunde chache sana na huyo jamaa hakuwa na namna ya ku escape maana ni kama alishawekwa mtu kati na bus na ukuta.Sema kwenye ajali kila mtu anaangalia maisha yake; yule mwamba alipogundua alitakiwa akimbie huku.anapiga makele ya ajali na hivyo kumshitua yule aliyekuwa analifuata basi.
Hapana, kaliona na kasikia.Halafu inaonekana hakuliona hilo basi, maana yule jamaa aliyekaa alipoliona na kuanza kukimbia, yeye akawa analifuata huohuo upande wake. Huenda alikuwa na mawazo ya mbali sana na hivyo kutohisi chochote.
Ndugu yangu,kwa hiyo speed ya bus,angekimbiaje?Sema kwenye ajali kila mtu anaangalia maisha yake; yule mwamba alipogundua alitakiwa akimbie huku.anapiga makele ya ajali na hivyo kumshitua yule aliyekuwa analifuata basi.
Hata angeliona bado asingefanya chochote.Halafu inaonekana hakuliona hilo basi, maana yule jamaa aliyekaa alipoliona na kuanza kukimbia, yeye akawa analifuata huohuo upande wake. Huenda alikuwa na mawazo ya mbali sana na hivyo kutohisi chochote.
Tanganyika ina exist ?😂, Kuna siku nilitoa comment kama hii kuna jamaa ali mind sanaHakuna nchi yenye wajinga wengi ulimwenguni kuizidi Tanganyika.
Tumia macho na akili. Mwendokasi ana right of way kwenye hiyo barabara. Mwenye RAV4 ndio naingia bila kuchukua tahadhari.Hii haina ubishi ndugu dereva alikuwa Kitungi...Pole kwa wahanga.
Hapo ndio utakapojua kila mtu na siku yake hapa duniani,kwa harakaharaka unaweza kumcheka yule aliekimbilia ukutani ukasema huyu ningekuwa mimi ningerudi nyuma au ningekimbilia upande wa kulia,wakati huyu naye kama isingekuwa kuuangalia magari yanayokuja saa nyingine saa hizi ingekuwa habari nyingine,hebu jaribu tu kuwaza kama angekuwa kainama anasoma gazeti ingekuwaje...
Hatari sanaNimebaki nafikiria tuu watu wake wa karibu....
Kuna kitu alikuwa anawaza huku anatembea...
Kuna mipango alikuwa anaipanga aifanye leo jioni au kesho....
Kuna siri aliifahamu ilikuwa aiseme mwisho wa mwezi labda.....
Pengine ametoka kazi za usiku anarudi nyumbani na hiyo ndo njia yake....
Pengine anaelekea shughuli zake za kila siku ametoka kwake alfajiri....
Pengine kuna mtu waligombana jana usiku....
Kwa hali yoyote aiyonayo sasa ya uhai au mfu bado watu wake wa karibu wako kwenye majonzi ama ya msiba au kuuguza....
Ukisikia ajali haina kinga ndo kwa huyu baba aliyekuwa anatembea kwa miguu.
Mungu atunusuruMmh ngumu sana kuelewa
Maana barabarani wendawazim ni wengi sana kila mtu anaendesha ajuavyo
Watu wanajikaliaa tu mpaka ndani ya barabara bila kujali
Ova
Kudhihirisha ama kuakisi jinamagari yanakuwa kasi
Hata angemshtua bado isingesaidia chochote.Sema kwenye ajali kila mtu anaangalia maisha yake; yule mwamba alipogundua alitakiwa akimbie huku.anapiga makele ya ajali na hivyo kumshitua yule aliyekuwa analifuata basi.
Lakini ingekuwa mwendo wa kawaida tu bado ingeyumbaKudhihirisha ama kuakisi jina
Hata ukiwa na haki ya njia wajibu wako wa kwanza ni kuepusha ajali.Tumia macho na akili. Mwendokasi ana right of way kwenye hiyo barabara. Mwenye RAV4 ndio naingia bila kuchukua tahadhari.
Sio mpaka ukasomee u trafik ndio ujue mwenye kosa. The video is self explanatory.
Take your time and look again.
Ni kweli kabisaNimekuwa nikifuatilia madereva wanaosababisha ajali, hasa za usafiri wa uma, nimegundua kuwa wote ni wanaume. Wanawake wapo makini sana wawapo kazini, huwezi kukuta mwanamke anakunywa pombe na kuendesha. Ningependekeza madereva wa usafiri wa uma wawe wanawake
Kwenye makutano ya Morogoro Rd na Jamhuri St pana kituo cha mwendokasi?Mwenye taarifa za huyo mpita njia yu hai au amekufa atujuze maana nawa ambia watu hapa kua taarifa ya polisi imeonyesha hakuna Kifo.....
Mm nikiangalia tukio naona kama jamaa Ali escape Kwa kurukia ndani ya jengo la mwendokasi ndani