Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Hii kesi ni mbaya inahitaji wakili makini na mwenye uwezo mkubwa wa kufanya utetezi. Lissu pekee ndio ana uwezo mkubwa.

Chonde chonde njoo umsaidie mwenyekiti wetu. Usisuse maana anaweza akala mvua za kutosha na chama ndio kikawa basi huku makamanda wamekata tamaa.
 
Haya maneno hayana uhsiano na kukamatwa kwa Mbowe kalitafuta mwenyewe.

Mkuu kwa Magufuli sikukuona kabisa vipi mama kashaanza kuwapa ubwabwa wa bure huko misikitini?
 
Mama Samia Suluhus Hassan Rais waJMT muda c rafiki kwako mtafute master mind anayetengeneza anguko lako kisha mfyatue haraka Sana. Hujachelewa.
 
Hii kesi ni mbaya inahitaji wakili makini na mwenye uwezo mkubwa wa kufanya utetezi. Lissu pekee ndio ana uwezo mkubwa.

Chonde chonde njoo umsaidie mwenyekiti wetu. Usisuse maana anaweza akala mvua za kutosha na chama ndio kikawa basi huku makamanda wamekata tamaa.
Kesi gani we mataga? Ya ujambazi na utekaji aliokuwa akifanya sabaya?

Maana Mbowe hana kesi tunavyofahamu sisi, umesikia we lumumba buku7?

Peleka upumbavu wako kwa waliokutuma
 
Hapo hakuna kesi yoyote zaidi ya shida za katiba mpya.watatumia mitutu ya bunduki kuficha ukweli ila siku si nyingi katiba itapatikana.mbowe ametolewa sadaka ili kuwatisha watu kitu ambacho si kweli.mbowe hajawahi kuwa Gaidi na hata wahi kuwa Gaidi.
 
Hii kesi ni mbaya inahitaji wakili makini na mwenye uwezo mkubwa wa kufanya utetezi. Lissu pekee ndio ana uwezo mkubwa.

Chonde chonde njoo umsaidie mwenyekiti wetu. Usisuse maana anaweza akala mvua za kutosha na chama ndio kikawa basi huku makamanda wamekata tamaa.

Muuza face Tundu Lisu aje apambane na kesi ya kubambikiwa? Sasa ni hivi tunawachora tu na hizi mbinu za kizee za kutisha wanaume.
 
Kwahiyo Mweshimiwa Rais ameamua kuwa mjinga kihasi hiki.
Tuliwaambia magufuli ndiyo raisi bora mkapinga sasa huyu tuliye naye hana vision yoyote ya kiuchumi na kimaendeleo yeye kazi yake itakuwa ni kuuza nchi kama " makinikia ,na bagamoyo ,na kufanya hanasa na kushughulikia wapinzani kisawasawa "
 
Ugaidi sio silaha pekee

Kabla ya matumizi ya silaha kunakuaga na Mipango ambayo ni hatari zaidi
Marekani ukikutwa na robo tu ya hizo lazima kesi ya ugaidi ikuhusu
 
Wanyama pori na ugaidi tena!! Wanyamapori ni ujangili bana acheni kumislead watu
Jangili wa kawaida hawezi kumiliki siraha nyingi hivyo
Hapo ni kesi ya ugaidi na uhaini
 
Polisi ndiyo wanajua kama mnaona ameonewa fanyeni maandamano nchi nzima kama Afrika Kusini.
Injustice shall always be the same no matter who perpetuates. You consistently blamed Magufuli for his acts of "human rights abuse", same acts are being done by another President that you love not because she is better than her predecessor but because you share the same faith and belief, so you appreciate her acts of injustices. In this, you've your share in all these acts of injustices and human rights abuse.
 
Muuza face Tundu Lisu aje apambane na kesi ya kubambikiwa? Sasa ni hivi tunawachora tu na hizi mbinu za kizee za kutisha wanaume.
Tara 5 August kesi inaendelea, kama wewe unadhani wanamtisha sawa. Mimi nimetoa ushauri.
 
Back
Top Bottom