KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hopefully that time gives you a chance to reflect on what is important, not only to you, but to the entire community in which you live.Time will tell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hopefully that time gives you a chance to reflect on what is important, not only to you, but to the entire community in which you live.Time will tell
Mbowe is in custody for the benefit of entire community.Hopefully that time gives you a chance to reflect on what is important, not only to you, but to the entire community in which you live.
Haya maneno hayana uhsiano na kukamatwa kwa Mbowe kalitafuta mwenyewe.
Unateseka ukiwa sebulen kwa shemejiUngejua nilipo usingeongea upuuzi wako huu, andamaneni abubakar aachiwe
Kesi gani we mataga? Ya ujambazi na utekaji aliokuwa akifanya sabaya?Hii kesi ni mbaya inahitaji wakili makini na mwenye uwezo mkubwa wa kufanya utetezi. Lissu pekee ndio ana uwezo mkubwa.
Chonde chonde njoo umsaidie mwenyekiti wetu. Usisuse maana anaweza akala mvua za kutosha na chama ndio kikawa basi huku makamanda wamekata tamaa.
Hii kesi ni mbaya inahitaji wakili makini na mwenye uwezo mkubwa wa kufanya utetezi. Lissu pekee ndio ana uwezo mkubwa.
Chonde chonde njoo umsaidie mwenyekiti wetu. Usisuse maana anaweza akala mvua za kutosha na chama ndio kikawa basi huku makamanda wamekata tamaa.
Tuliwaambia magufuli ndiyo raisi bora mkapinga sasa huyu tuliye naye hana vision yoyote ya kiuchumi na kimaendeleo yeye kazi yake itakuwa ni kuuza nchi kama " makinikia ,na bagamoyo ,na kufanya hanasa na kushughulikia wapinzani kisawasawa "Kwahiyo Mweshimiwa Rais ameamua kuwa mjinga kihasi hiki.
Marekani ukikutwa na robo tu ya hizo lazima kesi ya ugaidi ikuhusuUgaidi sio silaha pekee
Kabla ya matumizi ya silaha kunakuaga na Mipango ambayo ni hatari zaidi
Marekani ukikutwa na robo tu ya hizo lazima kesi ya ugaidi ikuhusu
Jangili wa kawaida hawezi kumiliki siraha nyingi hivyoWanyama pori na ugaidi tena!! Wanyamapori ni ujangili bana acheni kumislead watu
Injustice shall always be the same no matter who perpetuates. You consistently blamed Magufuli for his acts of "human rights abuse", same acts are being done by another President that you love not because she is better than her predecessor but because you share the same faith and belief, so you appreciate her acts of injustices. In this, you've your share in all these acts of injustices and human rights abuse.Polisi ndiyo wanajua kama mnaona ameonewa fanyeni maandamano nchi nzima kama Afrika Kusini.
Tara 5 August kesi inaendelea, kama wewe unadhani wanamtisha sawa. Mimi nimetoa ushauri.Muuza face Tundu Lisu aje apambane na kesi ya kubambikiwa? Sasa ni hivi tunawachora tu na hizi mbinu za kizee za kutisha wanaume.