Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

Milion 750 nadhani alimtapeli ndegesela.

Robert ni mjanja mjanja sana na binam yake kulwa na dogo lakd willi.
Uda nzima ilijaa watu wa malampaka.

Kama kwenye uzi huu atasoma ricardo nichek inbox
 
Huo mradi una maslahi ya umma, ni sawa na kuwekeza sokoni halafu usipende zogo na kelele, umma unataka mradi wake
 
Halafu nashangaa wamempeleka mahakamani haraka, no one around in the court room.

Mradi wa huyu jamaa ndio tatizo, siku zote naamini hana kosa; najua kuna mafisadi wengi walikuwa wakiutolea macho huo mradi, wanataka kumpoteza kabisa wajipigie kwa uhakika.
Usimtete huyu mwizi mshirika wa Ridhwani Kikwete kwenye miradi yao ya wizi wizi!! Hawa ndio walifirisi UDA kwa mambo yao ya kifisadi enzi ya Kikwete wakishirikiana na Marehemu Idd Simba na Alhaj Profesa Juma Athumani Kapuya!! Genge la Vasco Dagama!!
 
Usimtete huyu mwizi mshirika wa Ridhwani Kikwete kwenye miradi yao ya wizi wizi!! Hawa ndio walifirisi UDA kwa mambo yao ya kifisadi enzi ya Kikwete wakishirikiana na Marehemu Idd Simba ngina Alhaj Profesa Juma Athumani Kapuya!! Genge na Vasco Dagama!!
Watu wengine huwa hawashibi pesa mpaka watakapokutana na tani saba za mchanga !! Salaaleeh !!
 
Usimtete huyu mwizi mshirika wa Ridhwani Kikwete kwenye miradi yao ya wizi wizi!! Hawa ndio walifirisi UDA kwa mambo yao ya kifisadi enzi ya Kikwete wakishirikiana na Marehemu Idd Simba na Alhaj Profesa Juma Athumani Kapuya!! Genge na Vasco Dagama!!
Mshirika kivipi halafu asumbuliwe mpaka sasa wakati washirika wenzie wameshika hatamu?
 
Milion 750 nadhani alimtapeli ndegesela.

Robert ni mjanja mjanja sana na binam yake kulwa na dogo lakd willi.
Uda nzima ilijaa watu wa malampaka.

Kama kwenye uzi huu atasoma ricardo nichek inbox

Ndegesela wa kahama kampuni ya royal anaendesha mdogo wake pamoja na viwanda vya mafuta na mabati, hapo labda akina njalu na gungu wataenda kumtoa jela
 
Mshirika kivipi halafu asumbuliwe mpaka sasa wakati washirika wenzie wameshika hatamu?
Ngoja utasikia mwendelezo wa hii kesi!! Kesi ngapi za kusisimua umezisoma magazetini halafu ziiiiiiiiii huzisikii tena? Nchi hii inaongozwa na wahuni ! Ile ya wale waliokuwa wameunganisha bomba la Mafuta Kigamboni umeisikia tena?
 
Ngoja utasikia mwendelezo wa hii kesi!! Kesi ngapi za kusisimua umezisoma magazetini halafu ziiiiiiiiii huzisikii tena? Nchi hii inaongozwa na wahuni !
Huyo jamaa amewekwa mtu kati, siku akikubali kuachia wanavyotaka wenyewe wataachana nae, na watafanya hivyo muda wowote, naamini hata hiyo kesi ni mojawapo ya njia za kumtisha ili awapishe.
 
Back
Top Bottom