Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

Wataachiwa huru tu ni suala la muda, shida ilikuwa ule ukurugenzi wa UDART basi
 
Milion 750 nadhani alimtapeli ndegesela.

Robert ni mjanja mjanja sana na binam yake kulwa na dogo lakd willi.
Uda nzima ilijaa watu wa malampaka.

Kama kwenye uzi huu atasoma ricardo nichek inbox
Ilikuuma?
 
Kesi kufufuliwa kwake ndo kumalizwa kwake. Hii kesi inaenda kuisha for good now.Hawa jamaa walikuwa na battle na mwendazake ila walikuwa karibu na mtangulizi wake. I expect this case to be over very soon na jamaa watarudishiwa kila walichonyang'anywa ikiwemo na hisa zao za mradi wa Mabasi yaendayo haraka.
 
Milion 750 nadhani alimtapeli ndegesela.

Robert ni mjanja mjanja sana na binam yake kulwa na dogo lakd willi.
Uda nzima ilijaa watu wa malampaka.

Kama kwenye uzi huu atasoma ricardo nichek inbox
Ricardo katibu tarafa za hivi,mzee kama mnamjua huyu bwana basi na wewe ni wa malampaka.
 
Ngoja niangalie tena picha, nimeona jakaya hapo juu.
 
TISS nao hawahusiki make basi tutaamini kumbe nao upitiwa na usingizi huku nchi inatafunwa
 
Waliachiwa? Tafadhali tupatie feedback. Wanaweza kuwa walichongewa tu kwa mkuu wa nchi
 
Haya mambo inaonekana nyuma yake kuna mkono mrefu usioonekana.

Huyu jamaa kawekwa kati na makundi mawili ya wapigaji, moja kiongozi wao alishatwaliwa, na jingine kiongozi wake bado yupo, ndilo limeshika hatamu kwa sasa, hakika ana mtihani.
Ohooo Kumbe πŸ‘πŸ˜³
 
Hilo pozi lake la kijinga ndio litakalowaponza yeye na wenzake.
Mahakimu wetu ni very emotional. Unaweza pewa mvua kwa kutotamka neno muheshimiwa. Hilo pozi ajiandae kuwa nalo Segerea.
Ukimuona mbuzi juu ya mti ujue kapandishwa πŸ‘πŸ«€πŸ˜³
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…