Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

Unashtakiwa kwa kosa la "kujihusisha na mitandao ya kiharifu" au "ukwepaji kodi" na hela uliyokwepa wanadai kuifahamu mpaka thumni ya mwisho ila at the end of the day wanadai UCHUNGUZI HAUJAKAMILIKA. What is this? kwanini mnakamata mtu na kumtupa lupango kama hamna uhakika na kitu mnachokifanya? well, kila mtu anajua hii michezo ya kukomoana namna inavyochezwa
 
Nalia na TLS.
Wasomi wapumbavu.
 
Upuuzi mtupu. Kama upelelezi haujakamilika, kwa nini umkamate mtu?

Sheria zetu ni lazima zibadilishwe. Hizi sheria zinazoruhusu mtu kukamatwa wakati hakuna uthibitisho wa uhalifu, zinatumiwa vibaya na madikteta. Kama upelelezi haujakamilika, mtuhumiwa aachwe huru mpaka siku upelelezi ukishakamilika.
 
Hahaha!! Nikuonee wivu faruku kama wewe kwa kiingereza kinachopatikana St. Marys
Nimetukana!

Umeona wivu?

Na wewe tukana basi!

Go ahead,play yourself!

Y’all niggas are so dumb!

Badala ya kuiga innovation unaona wivu fulani katukana,haya harisha!
 
Ukidonyoa lazima udonyolewe,ngoma mbichi ,kwa sasa asiwaze uraini,atajiumiza,ngomeni kwasasa ndio eneo lake maalum.
Jela zilianza enzi za mitume
Endelea kufurahia lakini kumbuka leo kwake kesho kwako.

Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake.

Nina uhakika wa 100% ipo siku utayakumbuka maneno haya. By then it would be too late, utabaki unajilaumu "I wish siku zile nami ningepaza sauti dhidi ya uonevu aliofanyiwa Eric Kabendera."

 
Hii lugha ya upelelezi haujakamilika !!! Mungu epusha waja wako.
 
Nalia na TLS.
Wasomi wapumbavu.
There are is enough blame to be shared kati ya human right groups, media stakeholders and lawyers.

These proffesional bodies hazina jitihada zozote interms of pressuring the government towards social movement, protection of their interest and promoting their causes; and tactics are none existence to say the least.

Hakuna kitakachobadilika kwa kutegemea watu wengine haswa mabeberu ndio wawafanyie kazi ambazo wanatakiwa kuzifanya wao.
 
Walikua Wanalala pamoja Wakijadiliana Upumbavu gani wakupeleka kwa Makaburu Wao
Shida ni aliyoandika,uraia au uhujumu uchumi?
Kwa michango ya wana Lumumba humu,ni wazi kuwa suala la uhujumu uchumi ni kesi ya kubambikiwa!Kalamu yake ndiyo iliyomponza,halafu kichaa mmoja anasikika aombewe,WTF?
 
We ngombe hivi alikamatwa au alivamiwa na watu wasiojulikana hadi polisi walivyokiri kuwa wamemshikilia kwa mahojiano? Usitutoe kwenye reli
 
Kubambikiana kesi live bila chenga,halafu mtu mmoja anasimama kusema jeshi la polisi liache kubambikizia watu kesi,shame!
 
Watamzungusha miezi kadhaa alafu watamuachia baada ya kukosa evidence, ndiyo utawala chini ya jembe ulivyo. Hataki kukufunga, anataka akusumbue tu utishike na wengine wakuone uogope. Stupid
Hii ndio 'strategy' tokea mwanzo, sijui atafika nayo wapi!
 
Tulia dawa iwaingie washenzi nyie, unaanzaje kumtukana mkuu wa nchi wakati unajua nje ya mipaka ya nchi ndiye alama/nembo ya Taifa, watoe pu.mbu kabisa mwehu uyo.

Mkuu ,una mtukuza sana Binadamu huyo kinyume hata na Katiba.Hajakutwa na Hatia ila umesha Mhukumu ,punguza Mahaba kwa Mwanaume mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…