Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
Kwa hiyo wamemshitaki kwa hilo kosa la utakatishaji fedha ili akose dhamana?
Halafu utakatishaji fedha si kosa baya kihivyo mpaka lisiwe na dhamana.
Sheria ya kipumbavu kabisa hiyo.
Kwa hiyo wamemshitaki kwa hilo kosa la utakatishaji fedha ili akose dhamana?
Halafu utakatishaji fedha si kosa baya kihivyo mpaka lisiwe na dhamana.
Sheria ya kipumbavu kabisa hiyo.
Hapo dhamana hakuna.
Inashtusha nama mtu ambaye kwa nafasi yake katika jamii, mwenye jukumu la kuielimisha jamii anafanya mambo kama hayo.
Mnajisikiaje raha wanadamu wenzenu wanapopata mateso? Kwa kweli binadamu siyo watu tena...
Kabendera ni mkosoaji wa jiwe? Tuoneshe ukosoaji wake!Silaha ya jiwe kwa wakosoaji wake.inasikitisha sana Tz imefikia hatua ya uonezi wa kiwango hiki.
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Hiyo ndo ngoja tumkomeshe, kaundiwa zengwe huyo maana tangu mwanzo waliitaka roho yake hivyo inawauma sana kumwona akiendelea kupumua.Duuh wanamuundia kesi isiyo na dhamana...Halafu haiwezekani mashtaka yote yaanzie 2015 hadi 2019.. Kwani enzi za JK alikuwa wapi? Hayo mashtaka ni ya kupika! Halafu mbona hakuna uchochezi badala yake amehusishwa na magenge ya kihalifu? Hao wenzake mbona hawajakamatwa kama wamejiridhisha kuwapo hayo magenge?
Ndiyo anarejeshwa Keko sasa ndugu yako na kama unaubavu kamtoe.Emb kwenda huko! Sina undugu na utawala wa kidikteta kamwe.
Unapoandika against serikali hakikisha upo safi,maana lazima wakutafute kwenye udhaifu wako wakutie nyavuni. Sasa anaandika against Rais,huku yeye mwenyewe anafinance uhalifu,halipi kodi na anatakatisha pesa. Poor him.Madame Victoire... unaita taaluma ya Kabendera upumbavu? Kosa lake liko wapi? Yeye ni muandishi wa habari za kiuchunguzi, aliandika kadiri ya uchunguzi wake ulipofikia.
Kosa lake ni kuandika kwa kutumia taaluma yake?
Na kama kila mmoja akifikiria familia yake tutajenga Taifa la namna gani?
Emb kwenda huko! Sina undugu na utawala wa kidikteta kamwe.
Yaani charge sheet inabadilishwa badilishwa kama chapati kwa amri kutoka juu!
Anyway; uongo haujawahi kuushinda ukweli!
Sipo upande wa mahakama nipo upande wa utetezi mkuuLisu huyu huyu aliye sema jana mahakama zetu ni useless?
Emb na wewe kama unajiamini kuwa ni msafi emb kosoa. Ikishindikana utashtakiwa kwa uhujumu uchumi kwa kosa la kuingia jf kinyume cha sheria ikiwemo kutumia majina bandia ili ufanye uhalifu ha! ha! ha!Hujanielewa hao walifanya hayo wakiwa safi. Sasa wewe unaandika against gouvernement huku unafanya uhalifu,unakwepa kodi. Sasa kosa la kutakatisha pesa halina mdhamana. Atajijua. Unaporusha mawe hakikisha upo safi.
Emb kwenda huko! Sina undugu na utawala wa kidikteta kamwe.
Kila siku kuna charges mpya, najiuliza lengo la kumkata tokea mwanzo lilikuwa nini?
So stupid indeed. Kashogi alikuwa anaishia saudiaHe was too stupid/naive kuandika makala kama zile halafu unaishi bongo na unaona kinachoendelea..He had it coming to him
Unakumbuka baada ya kutekwa (hadi watu walipopiga kelele ndipo tukaambiwa wamemkamata) kuwa walisema kuwa kosa lake ni utata wa uraia? Sasa iweje tena makosa yamebadilika?