Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.

Madame Victoire... unaita taaluma ya Kabendera upumbavu? Kosa lake liko wapi? Yeye ni muandishi wa habari za kiuchunguzi, aliandika kadiri ya uchunguzi wake ulipofikia.
Kosa lake ni kuandika kwa kutumia taaluma yake?
Na kama kila mmoja akifikiria familia yake tutajenga Taifa la namna gani?
 
Kwa hiyo wamemshitaki kwa hilo kosa la utakatishaji fedha ili akose dhamana?

Halafu utakatishaji fedha si kosa baya kihivyo mpaka lisiwe na dhamana.

Sheria ya kipumbavu kabisa hiyo.
Kwa hiyo wamemshitaki kwa hilo kosa la utakatishaji fedha ili akose dhamana?

Halafu utakatishaji fedha si kosa baya kihivyo mpaka lisiwe na dhamana.

Sheria ya kipumbavu kabisa hiyo.

Swali je alipoandikia hao the Economist makala alilipwa au aliandika bule, na kama kuna malipo, je yalifata taratibu za nchi au yalipita kimagendo,? Na kama yalipita kimagendo alijua athali zake? Na kama alijua je hili linalompata alijiandaa kupambana nalo, au sisi ndo tunawashwa washwa wakati yye alilijua hilo litamtokea?
 
Wewe jamaa akili huwa hauna. Usikute wewe n mbunge wa CCM, shida sana yaani.
Hapo dhamana hakuna.

Inashtusha nama mtu ambaye kwa nafasi yake katika jamii, mwenye jukumu la kuielimisha jamii anafanya mambo kama hayo.
 
Mnajisikiaje raha wanadamu wenzenu wanapopata mateso? Kwa kweli binadamu siyo watu tena...

Unajuaje kama najisikia raha mkulu wane.
Mimi sina taarifa kamili kuhusu kesi, hivyo nikajaribu kuwashauri na wengine kwamba tusilaumu kama hatuna taarifa kuhusu jambo fulani.
Halafu kwa nyongeza, hakuna silaha muhimu hususa ni kwa mwanaume kuwa na subira na jambo kabla ya kulia au kutoa lawama. ukiwa kichwa cha familia, waweza sababisha matatizo mengi. Siku zote jielekeze kutafuta taarifa kamili kuhusu jambo lililopo mbele yako kabla ya kutoa maamuzi. utaokoa mambo mengi.
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.

Inaonekana wewe unataarifa zaidi ya hizo tulizopewa!
Lakini haya haya mnayomfanyia Erick... hicho hicho kikombe anachonywea leo... lazima na nyie mkitumie!
Ni suala la muda tu!
 
Duuh wanamuundia kesi isiyo na dhamana...Halafu haiwezekani mashtaka yote yaanzie 2015 hadi 2019.. Kwani enzi za JK alikuwa wapi? Hayo mashtaka ni ya kupika! Halafu mbona hakuna uchochezi badala yake amehusishwa na magenge ya kihalifu? Hao wenzake mbona hawajakamatwa kama wamejiridhisha kuwapo hayo magenge?
Hiyo ndo ngoja tumkomeshe, kaundiwa zengwe huyo maana tangu mwanzo waliitaka roho yake hivyo inawauma sana kumwona akiendelea kupumua.
 
Emb kwenda huko! Sina undugu na utawala wa kidikteta kamwe.
Ndiyo anarejeshwa Keko sasa ndugu yako na kama unaubavu kamtoe.

Mnatuletea habari za kufanya makosa kisha mlie like kutaka huruma!?

Kwisha habari yake mnafiki yule!
 
Madame Victoire... unaita taaluma ya Kabendera upumbavu? Kosa lake liko wapi? Yeye ni muandishi wa habari za kiuchunguzi, aliandika kadiri ya uchunguzi wake ulipofikia.
Kosa lake ni kuandika kwa kutumia taaluma yake?
Na kama kila mmoja akifikiria familia yake tutajenga Taifa la namna gani?
Unapoandika against serikali hakikisha upo safi,maana lazima wakutafute kwenye udhaifu wako wakutie nyavuni. Sasa anaandika against Rais,huku yeye mwenyewe anafinance uhalifu,halipi kodi na anatakatisha pesa. Poor him.
 
Mujwahuzi Kabendera !!!!!!!!!!!!!!????????????????/
 
Hujanielewa hao walifanya hayo wakiwa safi. Sasa wewe unaandika against gouvernement huku unafanya uhalifu,unakwepa kodi. Sasa kosa la kutakatisha pesa halina mdhamana. Atajijua. Unaporusha mawe hakikisha upo safi.
Emb na wewe kama unajiamini kuwa ni msafi emb kosoa. Ikishindikana utashtakiwa kwa uhujumu uchumi kwa kosa la kuingia jf kinyume cha sheria ikiwemo kutumia majina bandia ili ufanye uhalifu ha! ha! ha!
 
Mange aliwaambieni muandamane mkaogopa saizi mnakimbilia kwenye matusi tu haisaidii kitu.kama umeona utawala wa RAISI wetu mpendwa haukufai hama nchi nenda unakozani kunautawala bora.jidai kimbelembele ukanye debe
 
Unakumbuka baada ya kutekwa (hadi watu walipopiga kelele ndipo tukaambiwa wamemkamata) kuwa walisema kuwa kosa lake ni utata wa uraia? Sasa iweje tena makosa yamebadilika?

Binafsi siwezi yasemea hayo, kwa maana taarifa za kutekwa hazikutoka kwenye vyombo rasmi vya nchi. Zilikuwa ni hisia tu. Kuanzia hapa, acha tujielekeze vitu ambavyo mahakama kama chombo kimojawapo cha nchi imevitoa.
 
Back
Top Bottom