KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

Mbona Jamhuri inatupeleka raia kwa kasi hivi, amefikishwa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi tena na sio kesi ya ugaidi???

IGP Sirro na cabinet yako mungu anawaona.
........kesi ya uhujumu uchumi yenye ugaidi ndani yake.......
Mwisho wa kunukuu.
 
Mimi huwa ccm nawafananishaga na mavampire hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye hana maslahi binafsi na ccm alafua awe na ushabiki na chama kilichojifia bado kikiwa madarakani..

mbowe atachomoka hapa na tutafungua madai ya mabilioni ya pesa kwa kashfa hii na kila aliyeumizwa atafutwa machozi,
 
Wanachandema kuwa waoga ndio kunawatesa na kutaendelea kuwatesa
 
HUYU ndio kigogo katika kunyorosha mistari yake

 
Mtafungua madai ya mabilioni ya pesa! Naona utakuwa bilionea soon.

Nyumbu buana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…