KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

Anything can happen.
1629714635952.png
 
Kiongozi wa chadema ( Chama cha democrasia na maendeelo) FREEMAN MBOWE . Amesomewa mashtaka yake leo.

Chakushangaza charge sheet inasema bwana mbowe anatuhumiwa kufadhili u
UGAIDI kwa kiasi cha shi $ 297 ( kama Tsh 600,000)

Je UGAIDI UPI unafadhiliwa kwa kiasi hicho cha fedha?

Its crazy that @freemanmbowetz is charged with terrorism by 'funding' US Dollar 297.54 sponsoring terrorists. What kind of terrorism can $297 do?
#hisisnotaterrorist

Uzi tayari.
Hivi Maza siku ile anahojiwa na BBC ..... hawa watu walikuwa wamebrief kuhusu hii kesi au ilikuwaje?

Kwa kweli $ 300 ni kichekesho cha mwaka ..... na huo uhujumu uchumi mbona makosa yake hayaonekani!!?
 
Wanasheria/Mawakili wanapata ajira kwa shughuli mbali mbali, kikubwa kuhakikisha kuna matukio ya kuwafanya waende mahakamani daily

Majeraha kwa Sabaya, ...naye anatakiwa aje atoe ushahidiii ama??

Ila kule kuvujisha clip kutokea hoteli ya .... ndo changamoto
 
ha kumbe na clip ipo? kaisha mbowe
 
Magufuli huyu, mwizi na muuaji mkubwa, na sabaya wake? Majambazi na wauaji? Acheni kukejeli. Wengi wamepoteza maisha, kwa kubomolewa nyumba, kwa kuuwawa moja kwa moja, kwa kutumbuliwa kwa uonevu
Bwashee unasema?
 
K
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hasira zako hapa hazitamtoa mbowe kule kwenye ugaidi!

Cha kufanya nenda mahakamani mkaandamane kule!

Eti chadema ni watu, watu wapi? Hawa waoga waliojificha nyuma ya keyboard?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji205]
Kwa hiyo wasipoandamana ndio waoga?
Je kwa nini usitafsiri kuwa wametii Sheria bila shuruti Kama ndicho hasa unaona ni sawa. UNAFIKI!!
 
ndiyo inabidi ujishangae wewe unayetoa mimacho kuangalia comment zinazomsemambowe iliuzijibu badala ya kwenda kutafuta hea ya chips dume
Wacha tuendelee kushangaana tu huku tajiri Mbowe akiwasanifu watu huko!
 
Yaani kikundi cha ugaidi kinadhaminiwa kwa 600k
Kwanza fahamu kuwa watu wana njaa iliyokithiri hapa nchini na huko kwenye mataifa ya dunia ya tatu kama Somalia au hata hapo Kenya hivyo ni rahisi kwa kijana kuingizwa kwenye mtego wa kufanya jinai ya UGAIDI kwa chips mayai au hata kupewa fedha ya kuikimu familia yake kwa siku moja au wiki na hivyo kukubali kufanya ugaidi. Sasa hiyo 600000/= unadhani haiwezi kufadhili UGAIDI, say wanapewa hela ya kula kisha wanapewa vidumu vya petroli (kwani lita moja ya petroli bei gani?), kisha viberiti au vilipuzi vya aina yoyote au wanapewa gongo, wanalewa na kisha wanahamasishwa kumchoma visu Ole Sabaya, unadhani hawawezi kukamilisha jinai ya UGAIDI kwa namna hiyo!? Omtiti kalieleza vizuri kwenye #195. Someni mfunguke macho!
 
Aiseeh , nlikua najua kwa utisho na ukubwa wa neno "GAIDI", Basi Kuna hela ndefu Sana inayohitajika kuufadhiri!

Kumbe hata 600k inaweza fadhili MAGAIDI na ikatosha!!?

Kuna haja ya kujiadhali Sasa, maana naona wote Ni magaidi TU, kwn uwezekano wa kuipata 600k upo kwa Kila mtu aamuae!
Yes yeyote anaweza kuwa gaidi akiamua. Nashangaa wanaotoka povu kuwa Mbowe siyo gaidi. Mnajua maamuzi yake? mtu yeyote kama ulivyosema anaweza kuwa gaidi. Ndiyo maana serikali inashughulika kwa ukali na yeyote anayefanya ugaidi akiwemo Mbowe.
 
Hivi Maza siku ile anahojiwa na BBC ..... hawa watu walikuwa wamebrief kuhusu hii kesi au ilikuwaje?

Kwa kweli $ 300 ni kichekesho cha mwaka ..... na huo uhujumu uchumi mbona makosa yake hayaonekani!!?

Unajua hiyo hela ilikuwa kwa ajili ya nini? Hiyo hela inaweza, kwa mfano, kununua petrol ya kutosha kuchoma maeneo mengi sana!
 
Kwanza fahamu kuwa watu wana njaa iliyokithiri hapa nchini na huko kwenye mataifa ya dunia ya tatu kama Somalia au hata hapo Kenya hivyo ni rahisi kwa kijana kuingizwa kwenye mtego wa kufanya jinai ya UGAIDI kwa chips mayai au hata kupewa fedha ya kuikimu familia yake kwa siku moja au wiki na hivyo kukubali kufanya ugaidi. Sasa hiyo 600000/= unadhani haiwezi kufadhili UGAIDI, say wanapewa hela ya kula kisha wanapewa vidumu vya petroli (kwani lita moja ya petroli bei gani?), kisha viberiti au vilipuzi vya aina yoyote au wanapewa gongo, wanalewa na kisha wanahamasishwa kumchoma visu Ole Sabaya, unadhani hawawezi kukamilisha jinai ya UGAIDI kwa namna hiyo!? Omtiti kalieleza vizuri kwenye #195. Someni mfunguke macho!
Kwahiyo kumchoma mtu visu ndio ugaidi
 
Back
Top Bottom