KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

Bongo ukipata hela wanakuonea wivu wanataka ushuke ufanane nao...
 
Equality before the law ni moja ya misingi ya katiba ya JMT.

Kama Mbowe alifanya kosa la uhujumu uchumi na ugaidi basi sheria ifuate mkondo.

Kuingilia mahakama kutoa uamuzi wa huruma kisa wanasiasa na watu wasio wazalendo wanamuonea huruma Mbowe sio fair.

Nazungumza kama mpenda maendeleo na mzawa wa Tanzania haki ifanyike bila kumpendelea Chairmman, kesho ruling ya High Court iwe fair kabisa.
Mkundu wa alikuzaa
 
Acha upuuzi, tumia ubongo. Mimi nataka haki.
Mkuu
Haki gani unayoitaka?
Maana kukamatwa kwake mpaka anabambikiwa huo utopolo utaratibu mzima ni haramu
Sasa sijui unazungumziaje hili?
Mi nikwambie tu usitegemee vya halali ikiwa haramu imetangulia!
 
Kwahiyo umetoa hukumu hujui unaingilia Haki zake na unaingilia Uhuru wa mahakama.
 
Equality before the law ni moja ya misingi ya katiba ya JMT.

Kama Mbowe alifanya kosa la uhujumu uchumi na ugaidi basi sheria ifuate mkondo.

Kuingilia mahakama kutoa uamuzi wa huruma kisa wanasiasa na watu wasio wazalendo wanamuonea huruma Mbowe sio fair.

Nazungumza kama mpenda maendeleo na mzawa wa Tanzania haki ifanyike bila kumpendelea Chairmman, kesho ruling ya High Court iwe fair kabisa.
Kusema hivyo kutasaidia nini?
 
Wale wanaolaumu watu wale wanaotilia shaka mashtaka dhidi ya Mbowe, kwamba wao wanaamini serikali na jeshi la polisi ni watakatifu sana na hawajawahi kubambikia watu kesi, wakumbuke kuwa huyu huyu wanayehangaika naye walishampa kesi ya Aqulina na akashinda. Kama hali ndiyo hii, kwanini tusiwatilie mashaka tena?

Kama kuwahi kushinda kesi zingine ndiyo msingi wa hoja yako, basi huna hoja!

Criminal justice systems aren’t foolproof. Not all criminals (murderers, rapists, thieves, etc) get convicted. Even serial killers can evade conviction for years or forever!
 
Mbowe tangu awe mwanasiasa wa upinzani ameshawahi kupigania jambo gani na likafanikiwa?

Amewahi kupigania haki ipi na ikafanikiwa?

???

Be more specific! Yapo mambo aliyopigania yakafanikiwa. Nitakutajia machache:

1. Marekebisho ya katiba ya chama chao kuondoa term limits,
2. Kubadili gia angani na kumfanya Lowassa kuwa mpeperusha bendera wa chama chao mwaka 2015,
3. Kuzuia utamaduni wa kuhoji matumizi ya fedha za chama chao,
4. Kuwafanya wabunge wanaotokana na chama chake wakichangie chama kila mwezi.

Inawezekana ulitaka jambo lenye characteristics fulani tofauti!
 
Kwa kufuata ule msemo kuwa "haki huinua taifa" naamini Mahakama ni taasisi kuu zaidi kuliko ya urais maana yenyewe ipo kwa ajili ya kutoa kitu kikubwa ambacho ni HAKI. Rais hatoi haki bali anatekeleza na saa nyingine kupindisha sheria, kwani hata akina Mobutu, Amin nk ni marais.
Kwa hiyo katika hii kesi majaji wana jukumu kubwa zaidi la kutuondelea laana katika nchi hii
 
Mswahili ni mtu apendae vitu visivyotija kwa taifa
 
Back
Top Bottom