KISUTU: Mahakama upande wa Watoto yatupilia mbali shtaka la Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond kuhusu malezi ya mtoto wao

Sidechick wa siku hizi hawafahamu kula na kipofu,wana papara mno ya kufanya levorusheni(mapinduzi) za kizembe zembe na kiboya.

Hamisa hana washauri wazuri anzia mama yake mpaka mashosti,tena ukute nia yake alikua kujaza followers tu insta yake na ya mwanae ili apate dili za matangazo ya insta au ubalozi wa mtoto danube(kama walivyopata akina tiffa)
 
Zari ana mbinu zake,angemuazima kidogo tu wema daah yule jamaa wa milion 900 ingependeza angedakwa mapema akasachiwa kabla ya kuingia hapo kwenye mnada.

Hamisa anatia huruma yaan hadi lulu anamshinda akili. Bora enzi akiwa na majizo angenunua hata ka kiwanja.
 
Utakuwepo Mahakamani da fatma? mi nakuja huko DSM jumapili, Jumatatu nitadamkia Mahakamani! Nikifika nitakuambia ili unielekeze, hata mahakamani sipajui!
huna shughuli za kufanya huko unakoishi?
 
Hamisa Mobeto, ni akisi la warembo wenye kupenda umaarufu. Pamoja na kutaka sifa za kijinga, hakika huishia kuanguka haraka sana.

Binti huyu aliuanza uhusiano kwa siri, hivyo ilimpasa hadi hapo aendelee kuwa namna hiyo. Ndiyo angeweza kufaidika zaidi na hata Mond angeweza kuja kwake alale naye na mtoto, ila yeye akashikiwa akili matokeo ni hayo. Kama alikubali kuvuliwa nguo ya ndani kwa siri kwa miaka kadhaa, kwanini hilo suala asingelificha.


Hapo sasa jamii ishamgundua alitegesha mimba makusudi, masikini Hamisa aliwaza mimba ndiyo inaweza kumvuta mwanaume. Akijua anaweza kuja kwake, matokeo anajibebea gunia la aibu.



Huyu dada ni kashikiwa akili, hawazi mwenyewe bali kuna watu humuwazia. Mwanamke wa aina hii, labda mwendawazimu ndiyo ataoa. Hakuna mwanaume anayetaka mwanamke wa aina hii, ingekuwa Zari ana akili za namna hii hilo tendo la kujua kazaa na mwingine basi angeweza kupewa maneno akavunja uhusiano. Bahati nzuri yule anajielewa, ndiyo maana jamaa hatoki
 
HAHAHAAAAA MANGE HUYO


KUJIFANYA ANAJUA KILA KITU KUMBE UHARO MTUPU


NAONA NYUMBU WASHAANZA KUMUCHA TARATIIIIBU MAAANA WANAMTUKANA KTK PAGE ZAKE SANAAA

YANI MWANZO ALIKUA ANA BLOCK,SA HIVI KAUFYATA

Huyo da mange bana ishu za watu anajifanya yupo nazo deep, nilicheka anavomwambia hamisa eti akusanye documents za show za diamond, akusanye documents za kipato , ushahidi wa bank apeleke mahakamani .

Wakati yeye mzungu alivoenda mahakamani kupunguza child support kalikua kadogo kalihaha kanauliza huko instagram guys nifanye nini ili nitengeneze kipato mzungu kasema child support ni kubwa nami natakiwa nichangie, ndo kakapata idea ya kufungua app yake ambayo sijui kama bado ipo.

Sasa nae kwanini asingekusanya documents za mzungu apeleke mahakamani adai hela ndefu kwa mzungu, ila ndo kwanza ikapunguzwa da mange ni fyatu
 
Mabingwa wa kushauri wanawake masuala ya mahusiano uwa ni wale walioshindwa ya kwao hasa ndoa zao zilivunjika.
Chunguza utaona
 
Lulu kichwa sana....hamisa, Wema hawamgusi japo yy mdogo
 
Ya Lulu lini, tukumbushane! Nataka kuja huko DSM kuiskiliza
Kuna watu wata[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] machozi ya damu na kuna wengine kwao itakuwa sherehe kubwaa[emoji126] [emoji482] [emoji484] [emoji485] [emoji481]
Muda utaleta majibu. Stei tyuni[emoji102]
 
Siku moja nililalamika hapa kuhusu mama zenu ambavyo baadala ya kuwajenga wanawapoteza hasa likija suala la mume/mpenzi wako. Hayo mafollower watasaidia nini miaka 20 ijayo. Hapo ni kuishi leo baadala ya kufikiri miaka 40 ijayo yake na mtoto. Kula na kipofu ni jambo la muhimu kwenu michepuko yetu. Ona zari anavyochanga karata yake. Umri na uzoefu muhimu katika maisha ndo maana binti mdogo 20 years huwezi kupambana na shangingi la miaka 50 kijana akiwa 20 years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…