Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
- Thread starter
- #81
Sidechick wa siku hizi hawafahamu kula na kipofu,wana papara mno ya kufanya levorusheni(mapinduzi) za kizembe zembe na kiboya.
Hamisa hana washauri wazuri anzia mama yake mpaka mashosti,tena ukute nia yake alikua kujaza followers tu insta yake na ya mwanae ili apate dili za matangazo ya insta au ubalozi wa mtoto danube(kama walivyopata akina tiffa)

Yule hakimu ni jembe mama makini. Huwa anachukia mtu kufanya mtoto kama kinga na njia ya kutekeleza matamanio yako. Uamuzi huu nimeupenda ingawa kosa la mabeto ambalo akinamama wengi wanalo hawaangalii future ya mtoto. Imagine zari ndiyo kwa sasa anamiliki Diamond why for heaven sake uoneshe picha upo katika kitanda cha zari na hata mtandio wake na kesho ampende mwanao? Je hujui sie k unayoifakamia ni bora kuliko Mtoto? Wengine mjifunze ukizaa na tuliooa jaribu kuwa mnafiki kwa bimkubwa na si ajabu ukampindua