Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Sasa mbona tukiwambia Samia na Magu ni kitu kimoja manatokwa mipovu?
Wewe ungependa tuendelee na ule utawala? Kwako hakuna shida unayoiona kwenye ule utawala?
 
Kumbe siyo fisadi?
Ingekuwa ufisadi angeshafunguliwa kesi, ingesikilizwa na angehukumiwa. Kwa kuwa serikali imekuwa ikibumba tuhuma imeshindwa kufungua kesi kwa sababu haina ushahidi wo wote na Seth angeigalagaza mahakamani. Serikali ilibaki na hoja moja ya uongo kuwa upelelezi haujakamilika!
 
Napongeza juhudi hizi,

Ni mwanzo mzuri Sana kuyafikia maridhiano kwa mustakhbali mzima was ustawi taifa letu.

Mwendazake alkua Ni mtu katili Sana, sidhan Kama aliweza kukaa Kwenye tumbo la mwanamke kwa miez 9.

Sasa tofauti iko wapi? Mbona style ya kumwachia ni ile ile tu iliyotumika kwa wengine? Unataka kusema huu utaratibu wa Plea ameuanzisha Mama au enzi za JPM? Unataka kujitoa ufahamu hapa bure [emoji3]
 
Mtu kashakiri na amekubali kulipa faini halafu aanzishe kesi

Answered zake je ataiba na kuondoka nazo?
 
Wale jamaa(Seth na Rugemalira) ukiangalia picha zao sa hivi wanafanana na wale manabii wa enzi za yesu.
TANZANIA ILIGEUKA JEHANAMU HALAFU yESU WA CHATO NDIO ALKUWA MTOA HUKUMU.
 
Kumbe yale mambo ya kulipa faini mnamalizana bado yapo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…