Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Nakushangaa sana,nyie enzi za mkoloni ndo mngekua mnawauza waafrika wenzenu ,snitches...unaisifiaje lugha ya aliyekupiga bakora? Weird thing.that is just formal and it comes from the govt forcing ppl to learn it in schools and also use it in News...ila ukija mtaani ndio utajua hakuna anayekidhamini...kwa mfano news ya saa moja ambayo ni ya kiswahili huwa ya dakika 20 na hakuna anayeitazama...ya kiingereza on the other hand ni ya masaa mawili...magazeti na vipindi vya kiswahili ni chache sana...za kuhesabika...kama Sheng' ingekubaliwa kutumiwa shuleni na ktk habari, basi Kiswahili kingetupiliwa mbali kitambo...forgive my Kiswahili...its not my fault its just the way we grew up...ntakupa mfano huu...nilipokuwa shuleni, kulikuwa na siku nne rasmi za kuzungumza kiingereza (monday to thursday) na ungepatikana ukizungumza kiswahili ungepewa kichapo cha mbwa....siku ya Ijumaa pekee ndio tulikubaliwa kuzungumza Kiswahili...
This is the norm in many of Kenya's towns and cities
Examples
Sheng Standard English (translation)
Huu msee ni fala! This guy's an idiot!
Si unidungie chwani? Can you please give me fifty shillings?
Acha kubonga mavi mdhii. Stop talking smack, man.
Ukivuta fegi utajiletea noma If you smoke cigarettesyou'll get yourself in trouble.
Ule dame amechapa! That girl is ugly!
Maisha ni gwan bana. Life is hard man.
Kuja utugawie hizi njiva. Come and share your fries with us.
Budake alishikwa na makarao. His dad was caught by the police.
Aliibiwa mbota na mboch. His watch was stolen by his housegirl.
Aliona magondi akaingiza njeve. He got scared when he saw some thugs.
Budake ni mzii. His father is tough/bad.
Mokoro aliniwai rwabe nikamchekie ka kwota. My mother gave me 200 shillings to go buy a quarter kilogram of meat.
Alirauka gware ndo asihate mat za kwenda kwao moshatha. He woke up early so as not to miss a matatu to his rural home.
Mwenye njaa anagari na wewe ulieshiba bado wapanda matatu???View attachment 505742 ila wakenya Inaonekana kwao kuna njaa saana maana siku hizi wamejaa hapa Mwanza ndo wafanyakazi wa ndani cheap kuliko wote wameamishia mpaka magari yao Yale ya matatu hapa.
Bahati mbaya yana mirangi ya hovyo ya njano hivyo watu hawapandi wakidhani ni school bus. Ni Mimi tu ndo huwa nawaonea huruma napanda ili wasife njaa wakiwa ugenini.
Hapa mwanza wamenyooka wamejifunza kiswahili na kisukuma ili wafanane na wenyeji.
Hebu nikumbushe ni wapi nimesema Kiswahili ni lugha ya wasomi, ewe kibwengo.kwa hiyo Kiswahili ndio lugha ya wasomi?...
Ni kawaida yako kwasababu huna akilisuperior in everything except eating albinos and witchcraftππππ...anyway on a serious note...if i must say, we have the bigger and richer economy...period! finish!...
The all of nairobi imejengwa na wazungu hamna chenu palesuperior in everything except eating albinos and witchcraftππππ...anyway on a serious note...if i must say, we have the bigger and richer economy...period! finish!...
Kenyans ni sawa na mtoto alierith mali za baba yake halaf anapita mtaani kujitambishia..crazyassniggaz.la hivyo ndivyo mambo yalivyo...
Ktk lipi hilo labda, jidanganyeni.tayari wakenya wako mbele ya watz....ubabe tuwachieni...πππ
Hivi nchini Kenya kuna wana vijiji ambao hawakusoma, lakini wanazungumza kingereza kama lugha yao ya pili au kingereza ni lugha ya wasomi tu? Nisaidie Mkuu.
Mbona huliweki wazi hili, au mwenyewe unajua kuwa unasema uongo? Mko juu ktk lipi hilo?pride comes with inferiority...tunakua na pride kani tuko juu yenu...
Alafu pia naona watanzania we go hamjui maana ya ukabila.... Vile mlivyofundishwa na nyerere mkaacha mila na desturi zenu za asili hua imewafanya mnachukia kabila zenu eti mkiongea lugha moja ndo taifa moja... Huo ni upuzi!!!KIswahili kinakua kwa kasi kubwa nchini Kenya. This language is breaking down all the burriers of tribalism in Kenya. Kiswahili kinabomoa kwa kasi ukabila nchini Kenya. Wakenya sasa wako wamoja kwasababu ya matumizi makubwa ya Kiswahi. Kaimu Raisi W. Ruto jana aliongea kiswahili kizuri sana.Hongera sana Ruto kwa kupromot Kiswahili. You are good in Swahili.
Hivi lugha ndo usomi au kilimo cha usomi wandugu? Mi nilidhani ni vyombo tu chakutolea elimu, kumbe ndio elimu yenyewe, kwahiyo waingereza wote ni Phd. Holders.kwa hiyo Kiswahili ndio lugha ya wasomi?...kwa hiyo akina Desmond Tutu, Lumumba na Mandela pia sio wasomi...hata mimi naona..endelea kutumia uji na kinyesi kufikiria ...πππ
mada ipi? nadhani tunaongelea mambo ya Lugha.....ila nakuelewa najua akili yako imejaa uji, kamasi na kinyesi...typical tanzanian idiot...ona mwenzako hapaπππππππππmbona unahama kwenye mada.....hovyo kabisa
ImebumaMbona mabwana zenu mnaowabudu south Africa Wana lugha rasmi kumi Na Moja zikiwemo za kukabila. Mbona Tanzania msiwatumia ujumbe wageuza wawe kama nyinyi. Na kwa habari yenu wenye midomo buggy Tanganyika, kiswahili chimbuko ni Kenya. Pili Kenya imefaidi zaidi kiuchumi Tokana kiswahili kuliko nyie! Mfano tafsili ya Google Na kdhalika......narudi nasubiri povu kwanza...
ona ulivyo na roho ya shetani,ulisikia wapi ni mabwana zetu,tulijitolea katikakuhakikisha wanapata uhuru wao,wakati nyie mkiwa upande wa makaburu,inawauma sana sisi kuwa na mahusiano mema nao....aua inawauma sisi kuwa SADC...toa huu ufala weweMbona mabwana zenu mnaowabudu south Africa Wana lugha rasmi kumi Na Moja zikiwemo za kukabila. Mbona Tanzania msiwatumia ujumbe wageuza wawe kama nyinyi. Na kwa habari yenu wenye midomo buggy Tanganyika, kiswahili chimbuko ni Kenya. Pili Kenya imefaidi zaidi kiuchumi Tokana kiswahili kuliko nyie! Mfano tafsili ya Google Na kdhalika......narudi nasubiri povu kwanza...
Naona unasisitiza sana kuwa Kiswahili Kenya ni lugha ya kishamba.. at the same time ruto anasema ni unifying language.. at the same time wapwani wanaiongea vizuri.. sijakuelewa ndugu yangu, una ajenda gani??kweli...wakenya wengi hawana haja na kiswahili sanifu...wanachukulia ni lugha ya kishamba...ndio maana wakatoa Sheng'... nadhani kilitoka kwa kuwadharau watanzania...most kenyans see tanzanians are inferiors and therefore dont want to be associated with them especially through language...
ajenda yake hapo ni kisebusebu na kirooho papo..wanakipenda Kiswahili ila ndo hivyo Kiswahili hakiwapendi waoNaona unasisitiza sana kuwa Kiswahili Kenya ni lugha ya kishamba.. at the same time ruto anasema ni unifying language.. at the same time wapwani wanaiongea vizuri.. sijakuelewa ndugu yangu, una ajenda gani??
Kiswahili hakimilikiwi na WaTz, naona unakiponda kama vile inampunguzia MTz chochote.that is just formal and it comes from the govt forcing ppl to learn it in schools and also use it in News...ila ukija mtaani ndio utajua hakuna anayekidhamini...kwa mfano news ya saa moja ambayo ni ya kiswahili huwa ya dakika 20 na hakuna anayeitazama...ya kiingereza on the other hand ni ya masaa mawili...magazeti na vipindi vya kiswahili ni chache sana...za kuhesabika...kama Sheng' ingekubaliwa kutumiwa shuleni na ktk habari, basi Kiswahili kingetupiliwa mbali kitambo...forgive my Kiswahili...its not my fault its just the way we grew up...ntakupa mfano huu...nilipokuwa shuleni, kulikuwa na siku nne rasmi za kuzungumza kiingereza (monday to thursday) na ungepatikana ukizungumza kiswahili ungepewa kichapo cha mbwa....siku ya Ijumaa pekee ndio tulikubaliwa kuzungumza Kiswahili...
This is the norm in many of Kenya's towns and cities
Examples
Sheng Standard English (translation)
Huu msee ni fala! This guy's an idiot!
Si unidungie chwani? Can you please give me fifty shillings?
Acha kubonga mavi mdhii. Stop talking smack, man.
Ukivuta fegi utajiletea noma If you smoke cigarettesyou'll get yourself in trouble.
Ule dame amechapa! That girl is ugly!
Maisha ni gwan bana. Life is hard man.
Kuja utugawie hizi njiva. Come and share your fries with us.
Budake alishikwa na makarao. His dad was caught by the police.
Aliibiwa mbota na mboch. His watch was stolen by his housegirl.
Aliona magondi akaingiza njeve. He got scared when he saw some thugs.
Budake ni mzii. His father is tough/bad.
Mokoro aliniwai rwabe nikamchekie ka kwota. My mother gave me 200 shillings to go buy a quarter kilogram of meat.
Alirauka gware ndo asihate mat za kwenda kwao moshatha. He woke up early so as not to miss a matatu to his rural home.