Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

IMG_20170507_131610.jpg
ila wakenya Inaonekana kwao kuna njaa saana maana siku hizi wamejaa hapa Mwanza ndo wafanyakazi wa ndani cheap kuliko wote wameamishia mpaka magari yao Yale ya matatu hapa.

Bahati mbaya yana mirangi ya hovyo ya njano hivyo watu hawapandi wakidhani ni school bus. Ni Mimi tu ndo huwa nawaonea huruma napanda ili wasife njaa wakiwa ugenini.

Hapa mwanza wamenyooka wamejifunza kiswahili na kisukuma ili wafanane na wenyeji.
 
that is just formal and it comes from the govt forcing ppl to learn it in schools and also use it in News...ila ukija mtaani ndio utajua hakuna anayekidhamini...kwa mfano news ya saa moja ambayo ni ya kiswahili huwa ya dakika 20 na hakuna anayeitazama...ya kiingereza on the other hand ni ya masaa mawili...magazeti na vipindi vya kiswahili ni chache sana...za kuhesabika...kama Sheng' ingekubaliwa kutumiwa shuleni na ktk habari, basi Kiswahili kingetupiliwa mbali kitambo...forgive my Kiswahili...its not my fault its just the way we grew up...ntakupa mfano huu...nilipokuwa shuleni, kulikuwa na siku nne rasmi za kuzungumza kiingereza (monday to thursday) na ungepatikana ukizungumza kiswahili ungepewa kichapo cha mbwa....siku ya Ijumaa pekee ndio tulikubaliwa kuzungumza Kiswahili...
This is the norm in many of Kenya's towns and cities
Examples
Sheng Standard English (translation)
Huu msee ni fala! This guy's an idiot!
Si unidungie chwani? Can you please give me fifty shillings?
Acha kubonga mavi mdhii. Stop talking smack, man.
Ukivuta fegi utajiletea noma If you smoke cigarettesyou'll get yourself in trouble.
Ule dame amechapa! That girl is ugly!
Maisha ni gwan bana. Life is hard man.
Kuja utugawie hizi njiva. Come and share your fries with us.
Budake alishikwa na makarao. His dad was caught by the police.
Aliibiwa mbota na mboch. His watch was stolen by his housegirl.
Aliona magondi akaingiza njeve. He got scared when he saw some thugs.
Budake ni mzii. His father is tough/bad.
Mokoro aliniwai rwabe nikamchekie ka kwota. My mother gave me 200 shillings to go buy a quarter kilogram of meat.
Alirauka gware ndo asihate mat za kwenda kwao moshatha. He woke up early so as not to miss a matatu to his rural home.
Nakushangaa sana,nyie enzi za mkoloni ndo mngekua mnawauza waafrika wenzenu ,snitches...unaisifiaje lugha ya aliyekupiga bakora? Weird thing.
 
View attachment 505742 ila wakenya Inaonekana kwao kuna njaa saana maana siku hizi wamejaa hapa Mwanza ndo wafanyakazi wa ndani cheap kuliko wote wameamishia mpaka magari yao Yale ya matatu hapa.

Bahati mbaya yana mirangi ya hovyo ya njano hivyo watu hawapandi wakidhani ni school bus. Ni Mimi tu ndo huwa nawaonea huruma napanda ili wasife njaa wakiwa ugenini.

Hapa mwanza wamenyooka wamejifunza kiswahili na kisukuma ili wafanane na wenyeji.
Mwenye njaa anagari na wewe ulieshiba bado wapanda matatu???
 
superior in everything except eating albinos and witchcraft😀😀😀😀...anyway on a serious note...if i must say, we have the bigger and richer economy...period! finish!...
Ni kawaida yako kwasababu huna akili
Unakurupuka kwa kudhani unapoint kumbe huna akili
Leo sio siku ya kwanza kubishana na wewe
Ni rahisi sana kwa mkenya na mtanzania wanaobishana kuona mtanzania ni tajiri kuliko mkenya anaebishana nae
Ko sikushangai
Unastress za maisha bro
 
superior in everything except eating albinos and witchcraft😀😀😀😀...anyway on a serious note...if i must say, we have the bigger and richer economy...period! finish!...
The all of nairobi imejengwa na wazungu hamna chenu pale
Uku uku tz ni sisi watanzania tumejenga
Na ndio maana uko kwenu ni virahisi kukuta mtu kalala njian uku tz ni ki2 cha ajab
 
Hivi nchini Kenya kuna wana vijiji ambao hawakusoma, lakini wanazungumza kingereza kama lugha yao ya pili au kingereza ni lugha ya wasomi tu? Nisaidie Mkuu.

Haya makelele ya utumiaji wa Kiswahili mbona huwa hamyaelekezi kwa majirani wenu wengine, kama vile Msumbiji, Malawi n.k.
Kila siku mnalialia eti Wakenya Kiswahili hawakitaki.
Inafaa iwaingie kama jinsi nimesema mara nyingi humu, kwamba Wakenya tunaongea lugha nyingi na ni vigumu kutufuga kwenye zizi moja kama alivyofanya Nyerere kwa Watanzania. Kenya tuna uhuru wa kutumia lugha tunazotaka bila shinikizo lolote.
Kiswahili tunakipenda, lakini pia tunapenda lugha zetu za asili na tunazitumia sana pamoja pia na lugha za kigeni kama Kingereza.
Utafiti umedhihirisha kwamba uwezo wa kutumia lugha kadhaa huwa unaboresha mtu hata kifikira.

Halafu mambo ya ubaguzi wa kikabila au aina yoyote ile hauletwi au kuzuiwa na lugha, maana Somalia kule wanaongea lugha moja, dini moja lakini hawana nchi, kutwa kulipuana na kuchinjana. Kuna matukio mengi hata ya kihistoria ambapo watu wanaotumia lugha moja ila walichinjana tu, nenda hata hapo Rwanda.

Ubaguzi upo kwenye fikira na mawazo ya mtu, nyie hapo kuna chembe chembe za ubaguzi kwa misingi ya dini, kitu ambacho nimekiona na sio kuhadithiwa wala nini. Hivyo hapa kwetu tunajaribu jinsi nyingi za kumaliza ubaguzi wa ukabila ambao uliletwa na mzungu hata kabla hatujapata uhuru, mzungu alitugawa kwenye divide and rule mechanism. Kwenu hakua na haja maana alihodhi nchi kutoka kwa Mjerumani hivyo alijua ataachia na hakua na nia ya kung'ang'ania.
 
KIswahili kinakua kwa kasi kubwa nchini Kenya. This language is breaking down all the burriers of tribalism in Kenya. Kiswahili kinabomoa kwa kasi ukabila nchini Kenya. Wakenya sasa wako wamoja kwasababu ya matumizi makubwa ya Kiswahi. Kaimu Raisi W. Ruto jana aliongea kiswahili kizuri sana.Hongera sana Ruto kwa kupromot Kiswahili. You are good in Swahili.
Alafu pia naona watanzania we go hamjui maana ya ukabila.... Vile mlivyofundishwa na nyerere mkaacha mila na desturi zenu za asili hua imewafanya mnachukia kabila zenu eti mkiongea lugha moja ndo taifa moja... Huo ni upuzi!!!

Sisi kama wakenya hua tuko na filosofia tofauti, sisi tunaamini kwamba hats kama tuko na mila tofauti kama wakenya, haijalishi maanake sote ni wakenya wa matabaka mbali mbali tunaoipenda nchi yeti, na mimi kua Mkenya halisi haitokani na lugha ninayoiongea wala rangi au nywele, Mkenya anaipenda nchi yake awe mluya, msomali, mkamba mkikuyu....... lakini kwa bahati mbaya, kulitokea 'ukabila' kwasababu ya mapendeleo yaliyofanywa na wanasiasa kwa watu wao, na mwishowe ikawa kama janga, Lakini hats hivyo ukiangalia vitu kama cultural shows au music festivals wakenya wengi zaidi hua wanafurahia tamaduni za Makala tofauti ndani ya kenya yanavyo jivunia asili zao za kiafrika....
Nina imani siku moja tutaondoa ukabila kabisa hapa kenya, na tukifanya hivyo tutakua nchi ilioungana kabisa kushinda nchi yoyote hapa Africa, manaake upendo wa nchi yetu unatokana na idealogia moja ya kwamba sisi ni wakenya, haijalishi unaongea lugha ghani wala unasura ghani, sote ni wakenya
 
kwa hiyo Kiswahili ndio lugha ya wasomi?...kwa hiyo akina Desmond Tutu, Lumumba na Mandela pia sio wasomi...hata mimi naona..endelea kutumia uji na kinyesi kufikiria ...😀😀😀
Hivi lugha ndo usomi au kilimo cha usomi wandugu? Mi nilidhani ni vyombo tu chakutolea elimu, kumbe ndio elimu yenyewe, kwahiyo waingereza wote ni Phd. Holders.
 
Mbona mabwana zenu mnaowabudu south Africa Wana lugha rasmi kumi Na Moja zikiwemo za kukabila. Mbona Tanzania msiwatumia ujumbe wageuza wawe kama nyinyi. Na kwa habari yenu wenye midomo buggy Tanganyika, kiswahili chimbuko ni Kenya. Pili Kenya imefaidi zaidi kiuchumi Tokana kiswahili kuliko nyie! Mfano tafsili ya Google Na kdhalika......narudi nasubiri povu kwanza...
 
Watanzsnia we go hapa wanaongea kana kwamba Kiswahili ni cha, hivi kwani hamjui kwamba kuna lahaja zaidi ya ishirini za Kiswahili??? Za kutoka pemba, unguja,Mombasa,Lamu .....

Eti mko na shida na sheng ya Kenya..... Si kiswahili pia kilianza kama aina flani ya sheng kutokana na watu waliofanya biashara pwani ya EA, lugha ikatokea hapo, ndani ya kiswahili kuna maneno mengi sana ya kiarabu, pia nakumbuka nilihuzunika sana nilipoambiwa kwamba maneno mengi ya swa yametoka kwa lugha ya portugees waliotembelea EA kama kina vasco dagama...maneno kama kopo,leso, pesa!,mvinyo,benders,bomba,pera,karats,danguro,buli,muhogo.... Alafu maneno ya kiarabu hata ndo usiulize..... Alafu vyakula vya uswahilini kama pilau ni vya kiarabu, biriani ni chakuka cha Iran!
 
mbona unahama kwenye mada.....hovyo kabisa
mada ipi? nadhani tunaongelea mambo ya Lugha.....ila nakuelewa najua akili yako imejaa uji, kamasi na kinyesi...typical tanzanian idiot...ona mwenzako hapa😀😀😀😀😀😛😛😛😛
Diamond-Platnumz-English.png
[/QUOTE]
Kwa kauli zako inathibithisha kwamba Wakenya wenye kujitambua ni wachache sana...ila tu msifanye kosa uchaguzi ujao,mchagueni Uhuru awe Rais wenu maana kusema ukweli,japo mapungufu hayakosekani,nafikiri ndo Rais bora kwa sasa katika ukanda huu
 
Mbona mabwana zenu mnaowabudu south Africa Wana lugha rasmi kumi Na Moja zikiwemo za kukabila. Mbona Tanzania msiwatumia ujumbe wageuza wawe kama nyinyi. Na kwa habari yenu wenye midomo buggy Tanganyika, kiswahili chimbuko ni Kenya. Pili Kenya imefaidi zaidi kiuchumi Tokana kiswahili kuliko nyie! Mfano tafsili ya Google Na kdhalika......narudi nasubiri povu kwanza...
Imebuma
 
ona ulivyo na roho ya shetani,ulisikia wapi ni mabwana zetu,tulijitolea katikakuhakikisha wanapata uhuru wao,wakati nyie mkiwa upande wa makaburu,inawauma sana sisi kuwa na mahusiano mema nao....aua inawauma sisi kuwa SADC...toa huu ufala wewe
 
kweli...wakenya wengi hawana haja na kiswahili sanifu...wanachukulia ni lugha ya kishamba...ndio maana wakatoa Sheng'... nadhani kilitoka kwa kuwadharau watanzania...most kenyans see tanzanians are inferiors and therefore dont want to be associated with them especially through language...
Naona unasisitiza sana kuwa Kiswahili Kenya ni lugha ya kishamba.. at the same time ruto anasema ni unifying language.. at the same time wapwani wanaiongea vizuri.. sijakuelewa ndugu yangu, una ajenda gani??
 
ajenda yake hapo ni kisebusebu na kirooho papo..wanakipenda Kiswahili ila ndo hivyo Kiswahili hakiwapendi wao
 
that is just formal and it comes from the govt forcing ppl to learn it in schools and also use it in News...ila ukija mtaani ndio utajua hakuna anayekidhamini...kwa mfano news ya saa moja ambayo ni ya kiswahili huwa ya dakika 20 na hakuna anayeitazama...ya kiingereza on the other hand ni ya masaa mawili...magazeti na vipindi vya kiswahili ni chache sana...za kuhesabika...kama Sheng' ingekubaliwa kutumiwa shuleni na ktk habari, basi Kiswahili kingetupiliwa mbali kitambo...forgive my Kiswahili...its not my fault its just the way we grew up...ntakupa mfano huu...nilipokuwa shuleni, kulikuwa na siku nne rasmi za kuzungumza kiingereza (monday to thursday) na ungepatikana ukizungumza kiswahili ungepewa kichapo cha mbwa....siku ya Ijumaa pekee ndio tulikubaliwa kuzungumza Kiswahili...
This is the norm in many of Kenya's towns and cities
Examples
Sheng Standard English (translation)
Huu msee ni fala! This guy's an idiot!
Si unidungie chwani? Can you please give me fifty shillings?
Acha kubonga mavi mdhii. Stop talking smack, man.
Ukivuta fegi utajiletea noma If you smoke cigarettesyou'll get yourself in trouble.
Ule dame amechapa! That girl is ugly!
Maisha ni gwan bana. Life is hard man.
Kuja utugawie hizi njiva. Come and share your fries with us.
Budake alishikwa na makarao. His dad was caught by the police.
Aliibiwa mbota na mboch. His watch was stolen by his housegirl.
Aliona magondi akaingiza njeve. He got scared when he saw some thugs.
Budake ni mzii. His father is tough/bad.
Mokoro aliniwai rwabe nikamchekie ka kwota. My mother gave me 200 shillings to go buy a quarter kilogram of meat.
Alirauka gware ndo asihate mat za kwenda kwao moshatha. He woke up early so as not to miss a matatu to his rural home.
Kiswahili hakimilikiwi na WaTz, naona unakiponda kama vile inampunguzia MTz chochote.
 
Back
Top Bottom