Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

Hongera kwa ung'amuzi huo. Sisi TZ tulilijua hilo toka enzi zile tunapata Uhuru.
 
English ndiyo lugha isiyo ya kishamba? Hivi Kenya mnaongea English IPI? Ya London (cockney), ya Merseyside (Liverpool), ya Midlands au ya Manchester? Kukipa hadhi Kiingereza juu ya Kiswahili ni utumwa wa akili.
 
hanha,....nini unajua uwekezaji wa SA hapa kwetu?
 
What a pity! No wonder you enjoy wiping white peoples' arses.
 
naweza kuisifu uganda kwa english mzur inayovutia si kama kenya. kenyan nitawasifu kwa majivuno na ubinafs tu hakuna kingine kizuri. ningepewa nafas ya kuchagua nchi ya kwenda kujifunza english kenya itakuwa ya mwisho. ni heri niende uganda au malawi kuliko huko kwa wakoras.
 
akili yako nadhani imejaa uji....nikisema hivo namaanisha maeneo mengi na sio kila mahali.....ningemaanisha kila mahali ningefaa kutaja maeneo hayo....
Kiswahili cha Kenya kibaya wala sio sanifu na bado hakipendezi kusikiliza. Na kiingereza mnachoongea ni kile cha karne ya 16 na misamiati ya zamani kiasi kwamba akija mzungu inakuwa shida na bado kina lafudhi ya vilugha vyenu vya kikuyu na kijaluo nk. Sehemu pekee mnaweza kujivunia ni vilugha vyenu vya kienjeji Kikuyu,kijaluo,kikamba nk.
Hamna chochote cha kujivunia zaidi ya TZ kuwapa kiswahili na Uingereza kuwaachia Kiingereza.
 
most of us think ni lugha ya kishamba...mostly because we think Kenyans are superior and Tz are inferiors....ndio maana hakuna anyezungumza...
you are right all alone...u think bla bla bla..but for sure is different. myself i think kenyan are inferiors than almost E.A
Imagine how can u call urself superior? mnajivunia lugha za wakoloni mnaacha asili yenu..atleast mngepromote kikamba au kijaluo ningewasifu. uganda atleast wanajitahd kwa lugha yao ya kiganda.. ninyi kenya kujisifuuuuu tu ambako hakukusaidii chochote. I salute you mwl Nyerere for seen this before. RIP wherever you are.
 
wonderful blessings
 
hehe usipandwe na povu kwasababu hatudhamini lugha ya Kiswahili...this is just how we were brought up...and also coz tanzanians are inferiors...we cant speak language of Inferiors...😀😀😀😀😀😛😛
may be you don't know the actual meaning of inferior....if you knew.
you would shut ur mouth for good
 
Kitimoto mkubwa
 
Kama hakuna anayekithamini Kiswahili huko Kenya, kwanini viongozi wakubwa wa kitaifa kama Rais na Makamu wake wanahutubia kwa kiswahili na wanamuziki wote wa Kenya wanaimba nyimbo za Kiswahili?
 
most of us think ni lugha ya kishamba...mostly because we think Kenyans are superior and Tz are inferiors....ndio maana hakuna anyezungumza...

Neo-colonialism on freak! Sio siri kuwa wakenya bado mnatawaliwa kifikra na waingereza! Ndio maana mnaona English ndo kila kila kitu! Huu ni ujuha wa kiwango cha PhD!

Ndugu yangu, mataifa yanayojitambua yanatumia lugha zao za asili, bila kujali udogo wa lugha hizo, angalia Korea, Japan, Hungary, China Myanmar nk bado wanazitumia!

Halafu wewe na ukubwa wako huo bado unadiriki kusema eti ndivyo tulivyolelewa hivyo, bila kujua ni akina nani hao walio walea hivyo! Wakoloni; waliwaaminisha hivyo nanyi kwa kutojitambua mkakishadadia bila kutumia akili zenu!

Tukiongelea kigezo cha lugha, Tanzania tuko superior kuliko nyie, Maana sisi tunathubutu kuongea kiswahili chetu mbele ya mataifa mengine, kitu ambacho nyie hamuwezi kwa dhana za kikoloni zilizojaa vichwani mwenu! You are so inferior to embrace your true Africanism!

Wewe ukijitapa kila mtaa na kujisifu eti unajua kuongea kiingereza sanifu, mwingereza yeye asemeje kwa mfano? Atajifunza nini akija kitalii kwenye nchi yako?

Sisi tunaendelea kupiga hatua kukikuza kiswahili, nyie endeleeni kumsaidia mkoloni kueneza kiingereza!

1.Tumefanya jitihada hadi kiswahili kimekuwa official language AU,
2. Rwanda walivyoona hii lugha inazidi kukua, wameifanya kuwa lugha rasmi ya taifa lao.
3: Vyuo vya kufundisha kiswahili vinaendelea kuongezeka nchi za ulaya, marekani na asia.
4: Kiswahili sasa hivi kinashika nafasi ya 13 kwa kuwa lugha yenyenushawishi mkubwa The 25 Most Influential Languages in the World
5:Kiswahili kinashika nafasi ya 16 kwa kuwa lugha yenye wazungumzaji wengi duniani List of languages by total number of speakers - Wikipedia



Sasa wewe endelea kushadadia ukoloni ma kuona eti ndio ujanja
 
Huwa naona kila siku unajitetea eti nusu ya nchi yenu ni jangwa, sawa tukukubalie!

Lakini tukukumbushe kuwa kwa mbwembwe na minapi mnayopiga hapa mitandaoni kuwa nchi yenu imeendelea wala huo ukame usingekuwa shida!

Nchi nyingi ziko jangwani na zinazalisha chakula cha kutosha tena na ziada hadi zinagawa misaada!

Nyie mnaojisibu kila kukicha kuwa mmeendelea kinawashinda nini kuamzisha miradi ya imwagiliaji?

Kwa kulia lia kwako huku kila siku kunathibitisha tinachokisema kuwa kimaendeleo hata ninyi bado sana!


Kuhusu rasilimali zetu, wala zisikuimize kichwa, Maana hizi zingekuwa nchini kwenu ni dhahili zingeishia mikononi mwa mtu mmoja!

Kama ardhi tu ile inamilikiwa na familia chache, sembuse vingine, Kiukweli kwa dhana hizi hatutaweza kufanana
 

Maneno mazuri sana haya
 

Isingekua kujituma kwetu, haka kainchi kenye nusu jangwa hakangeongoza Afrika Mashariki na kati kwa kila kitu kielimu, kiuchumi, kijeshi n.k.
 

Kamsaidie huyu huku What is Wrong with Tanzania?!. Tunashindwa Nini Kufikisha Bidhaa Zetu Kwenye Masoko ya Kimataifa?!.

Tanzania kama nchi, tunakabiliwa na tatizo kubwa la Wafanyabiashra wa Tanzania, kushindwa kuingiza bidhaa zetu kwenye masoko ya kimataifa!, tatizo ni nini?!.

Mifano.
Tanzania ndiye mzalishaji pekee wa madini ya Tanzanite, lakini katika masoko ya kimataifa, nchi inayoongoza kwa kuuza Tanzanite ni India, ikifuatiwa na Afrika Kusini, Lebanon, Kenya halafu ndio sisi wenye Tanzanite zetu. Kwa vile Tanzanite inapatikana Tanzania pekee, data za export market ni zile za cut and polished stones, hii inamaanisha ni Tanzanite nyingi inachimbwa na kuuzwa un cut kuliko ile tunaicharanga wenyewe!.

Tanzania iko kwenye top ten wazalishaji wa korosho. Mnunuzi mkuu wa Korossho ya Tanzania ni India akifuatiwa na Kenya, lakini kwenye urari wa soko la processed nuts, Kenya ana export korosho nyingi zaidi sokoni kuliko Tanzania, huku sisi tukiuza korosho isiyobanguliwa!.

Kwenye nchi za Afrika Mashariki, Kenya ndio inaongoza kwa kuuza vinyago ulaya, na hakuna nchonga vinyago Kenya, vyote wananunua kutoka Tanzania, Kenye ndiye muuzaji mkuu wa unga wa sembe kwenye masoko ya ulaya, lakini mahindi yote wananunua kutoka Tanzania!.

Kwenye fursa za AGOA, Watanzania tumeshindwa kuchangamkia hiyo fursa!, Wakenya wanakuja Tanzania, wananunua bidhaa, na kupeleka Kenya, kule wana process na packing na branding, then zinaingia masoko ya kimataifa as products of Kenya!. What is wrong with sisi Watanzania?!.

Katika kusaidia kwenye hili, Taasisi ya Trademark East Africa, inajaribukutusaidia!.
MICHUZI BLOG: Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) yazijengea Uwezo bidhaa za Tanzania kuingia masoko ya kimataifa.
 
Wakenya ni waongo , wanapenda waonekane wako juu wakati ki u halisia sivyo, amini amini ukaguzi wa vyeti feki ukifanywa Kenya ki uhakika kuna wizara zitafungwa kwa kukosa watumishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…