Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

KIswahili kinakua kwa kasi kubwa nchini Kenya. This language is breaking down all the burriers of tribalism in Kenya. Kiswahili kinabomoa kwa kasi ukabila nchini Kenya. Wakenya sasa wako wamoja kwasababu ya matumizi makubwa ya Kiswahi. Kaimu Raisi W. Ruto jana aliongea kiswahili kizuri sana.Hongera sana Ruto kwa kupromot Kiswahili. You are good in Swahili.
Hongera kwa ung'amuzi huo. Sisi TZ tulilijua hilo toka enzi zile tunapata Uhuru.
 
Is this supposed to be a surprise? For many decades, Swahili has always been a unifying factor in Kenya...not just now....so is English...although 'Kiswahili Sanifu' is a challenge for many Kenyans except the ones from the coast (wapwani), it brings Kenyans together. many Kenyans prefer to speak English or Sheng' though and not Kiswahili Sanifu kama tz...ni lugha ya kishamba huku
English ndiyo lugha isiyo ya kishamba? Hivi Kenya mnaongea English IPI? Ya London (cockney), ya Merseyside (Liverpool), ya Midlands au ya Manchester? Kukipa hadhi Kiingereza juu ya Kiswahili ni utumwa wa akili.
 
Mahusiano baina ya nchi kwenye ngazi za kiserikali ni jambo la kawaida kote ulimwenguni, lakini hakuna kitu cha maana na cha msingi kama kuwepo na ushirikiano baina ya raia. Hivyo kututambia hapa kwamba rais wenu au Zuma huja Tanzania kukenua ilhali huko chini baina ya raia hapaeleweki ni upuzi.
Nakumbuka kuna siku hata Kikwete alialikwa kushangaa wasichana wakicheza uchi mbele ya mfalme Mswati ili huyo mfalme achague mke humo. Hayo mtayafanya na mnayafanya maana mlimwaga 'damu' huko, lakini cha msingi ni raia wananufaika vipi kwenye uhusiano. Uwekezaji baina ya nchi husika na sio ubebabji wa mabox na kuzamia ovyo.
hanha,....nini unajua uwekezaji wa SA hapa kwetu?
 
kweli...wakenya wengi hawana haja na kiswahili sanifu...wanachukulia ni lugha ya kishamba...ndio maana wakatoa Sheng'... nadhani kilitoka kwa kuwadharau watanzania...most kenyans see tanzanians are inferiors and therefore dont want to be associated with them especially through language...
What a pity! No wonder you enjoy wiping white peoples' arses.
 
Tunakitumia kwasababu tulifundishwa hivyo shuleni....frankly, it was shoved down our throats...hehe....ofcourse i dont speak for all Kenyans...but most of them...punguza povu lakini usije ukatenda dhambi leo Jumapili...mimi nawaeleza ukweli ulivyo...hakuna anayedhamini Kiswahili huku
naweza kuisifu uganda kwa english mzur inayovutia si kama kenya. kenyan nitawasifu kwa majivuno na ubinafs tu hakuna kingine kizuri. ningepewa nafas ya kuchagua nchi ya kwenda kujifunza english kenya itakuwa ya mwisho. ni heri niende uganda au malawi kuliko huko kwa wakoras.
 
akili yako nadhani imejaa uji....nikisema hivo namaanisha maeneo mengi na sio kila mahali.....ningemaanisha kila mahali ningefaa kutaja maeneo hayo....
Kiswahili cha Kenya kibaya wala sio sanifu na bado hakipendezi kusikiliza. Na kiingereza mnachoongea ni kile cha karne ya 16 na misamiati ya zamani kiasi kwamba akija mzungu inakuwa shida na bado kina lafudhi ya vilugha vyenu vya kikuyu na kijaluo nk. Sehemu pekee mnaweza kujivunia ni vilugha vyenu vya kienjeji Kikuyu,kijaluo,kikamba nk.
Hamna chochote cha kujivunia zaidi ya TZ kuwapa kiswahili na Uingereza kuwaachia Kiingereza.
 
most of us think ni lugha ya kishamba...mostly because we think Kenyans are superior and Tz are inferiors....ndio maana hakuna anyezungumza...
you are right all alone...u think bla bla bla..but for sure is different. myself i think kenyan are inferiors than almost E.A
Imagine how can u call urself superior? mnajivunia lugha za wakoloni mnaacha asili yenu..atleast mngepromote kikamba au kijaluo ningewasifu. uganda atleast wanajitahd kwa lugha yao ya kiganda.. ninyi kenya kujisifuuuuu tu ambako hakukusaidii chochote. I salute you mwl Nyerere for seen this before. RIP wherever you are.
 
Basi kama mmefundishwa shuleni ni nyie na serikali yenu, msijekutupigia kelele jukwaani kana kwamba sisi watanzania ndo tunataka muongee Kiswahili, wapigieni kelele viongoz wenu kua hamkitaki na mngependa kuendelea na lugha mliyokopa kwa wakoloni, hata mkijisifu vipi na kingereza hamuwez kua waingereza bt sisi tunajisifu na Kiswahili na tutaendelea kua waswahili, what a blessing.....🙂
wonderful blessings
 
hehe usipandwe na povu kwasababu hatudhamini lugha ya Kiswahili...this is just how we were brought up...and also coz tanzanians are inferiors...we cant speak language of Inferiors...😀😀😀😀😀😛😛
may be you don't know the actual meaning of inferior....if you knew.
you would shut ur mouth for good
 
Is this supposed to be a surprise? For many decades, Swahili has always been a unifying factor in Kenya...not just now....so is English...although 'Kiswahili Sanifu' is a challenge for many Kenyans except the ones from the coast (wapwani), it brings Kenyans together. many Kenyans prefer to speak English or Sheng' though and not Kiswahili Sanifu kama tz...ni lugha ya kishamba huku
Kitimoto mkubwa
 
Tunakitumia kwasababu tulifundishwa hivyo shuleni....frankly, it was shoved down our throats...hehe....ofcourse i dont speak for all Kenyans...but most of them...punguza povu lakini usije ukatenda dhambi leo Jumapili...mimi nawaeleza ukweli ulivyo...hakuna anayedhamini Kiswahili huku
Kama hakuna anayekithamini Kiswahili huko Kenya, kwanini viongozi wakubwa wa kitaifa kama Rais na Makamu wake wanahutubia kwa kiswahili na wanamuziki wote wa Kenya wanaimba nyimbo za Kiswahili?
 
most of us think ni lugha ya kishamba...mostly because we think Kenyans are superior and Tz are inferiors....ndio maana hakuna anyezungumza...

Neo-colonialism on freak! Sio siri kuwa wakenya bado mnatawaliwa kifikra na waingereza! Ndio maana mnaona English ndo kila kila kitu! Huu ni ujuha wa kiwango cha PhD!

Ndugu yangu, mataifa yanayojitambua yanatumia lugha zao za asili, bila kujali udogo wa lugha hizo, angalia Korea, Japan, Hungary, China Myanmar nk bado wanazitumia!

Halafu wewe na ukubwa wako huo bado unadiriki kusema eti ndivyo tulivyolelewa hivyo, bila kujua ni akina nani hao walio walea hivyo! Wakoloni; waliwaaminisha hivyo nanyi kwa kutojitambua mkakishadadia bila kutumia akili zenu!

Tukiongelea kigezo cha lugha, Tanzania tuko superior kuliko nyie, Maana sisi tunathubutu kuongea kiswahili chetu mbele ya mataifa mengine, kitu ambacho nyie hamuwezi kwa dhana za kikoloni zilizojaa vichwani mwenu! You are so inferior to embrace your true Africanism!

Wewe ukijitapa kila mtaa na kujisifu eti unajua kuongea kiingereza sanifu, mwingereza yeye asemeje kwa mfano? Atajifunza nini akija kitalii kwenye nchi yako?

Sisi tunaendelea kupiga hatua kukikuza kiswahili, nyie endeleeni kumsaidia mkoloni kueneza kiingereza!

1.Tumefanya jitihada hadi kiswahili kimekuwa official language AU,
2. Rwanda walivyoona hii lugha inazidi kukua, wameifanya kuwa lugha rasmi ya taifa lao.
3: Vyuo vya kufundisha kiswahili vinaendelea kuongezeka nchi za ulaya, marekani na asia.
4: Kiswahili sasa hivi kinashika nafasi ya 13 kwa kuwa lugha yenyenushawishi mkubwa The 25 Most Influential Languages in the World
5:Kiswahili kinashika nafasi ya 16 kwa kuwa lugha yenye wazungumzaji wengi duniani List of languages by total number of speakers - Wikipedia

Sasa wewe endelea kushadadia ukoloni ma kuona eti ndio ujanja
 
Lugha ni mojawapo wa kuleta uetngamano lakini sio njia ya pekee, nimekupa mifano ya nchi ambazo zinatumia lugha moja lakini waliishia kuchinjana.
Unafaa uafahamu Watanzania na Wakenya tuna milengo na malengo tofauti, tuna falsafa tofauti, nyie mlizoea kufungiwa ndani na Nyerere kwenye experiments/majaribio yake ya ujamaa ilhali sisi tuliachwa kila mtu atumie akili na mawazo yake. Mtanzana akija Kenya anaishia kushangaa mfumo wa maisha, naye Mkenya akiingia Tanzania anashangaa mfumo wao wa maisha maana tupo tofauti kimtazamo na kimaisha. Hatuwezi kuendana na hatutaendana.

Sera yenu ya ardhi ni mbovu pia na juzi mlijaribu kurekebisha lakini ikawashinda, pamoja na kwamba mna ardhi kubwa yenye raslimali kila eneo lakini unakuta kuna matukio ya mizozo ya ardhi na watu kupoteza maisha, sasa unashangaa ardhi yote hiyo ya nini, bora sisi tunweza kusema ardhi yetu ndogo na nusu ya nchi ni jangwa tupu na kame. Tatizo uvivu wenu kifikira.

Takwimu zimeonyesha Watanzania asilimia 70% ni maskini, Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges
Nchi yenyewe mna kila aina ya raslimali, yaani mna utajiri kushinda nchi zote kwenye suala la raslimali lakini nyie maskini wengi wa kutupwa. Hivyo hatuwezi kufanana, kuendana, au kuwa na mitazamo inayoendana maana bado experiments za Nyerere hazijawatoka akilini.
Huwa naona kila siku unajitetea eti nusu ya nchi yenu ni jangwa, sawa tukukubalie!

Lakini tukukumbushe kuwa kwa mbwembwe na minapi mnayopiga hapa mitandaoni kuwa nchi yenu imeendelea wala huo ukame usingekuwa shida!

Nchi nyingi ziko jangwani na zinazalisha chakula cha kutosha tena na ziada hadi zinagawa misaada!

Nyie mnaojisibu kila kukicha kuwa mmeendelea kinawashinda nini kuamzisha miradi ya imwagiliaji?

Kwa kulia lia kwako huku kila siku kunathibitisha tinachokisema kuwa kimaendeleo hata ninyi bado sana!

Kuhusu rasilimali zetu, wala zisikuimize kichwa, Maana hizi zingekuwa nchini kwenu ni dhahili zingeishia mikononi mwa mtu mmoja!

Kama ardhi tu ile inamilikiwa na familia chache, sembuse vingine, Kiukweli kwa dhana hizi hatutaweza kufanana
 
Sasa si muache kukitumia? Kwanini mjitese? Huo ni utumwa wa fikra, eti lugha ya kishamba...lol..nyie ndo washamba eti mnajitofautisha na wabongo kwa Kiswahili ambacho ni lugha yetu ya asili then nyie kujiona bora kwa lugha ya kukopa kwa wakoloni, huo ni utumwa, huwez kujigamba kwa lugha ya watu, ingekua English ni your very own language ningewaona wajanja bt nawaona ni more than washamba coz hata lafudhi mnayoongelea kingereza ni kama kijaluo sijui kikuyu...wereva... bt ukimkuta mbongo aliyeiva kwenye ngeli mkenya utasubiri sana, kiufupi mnalafudhi mbayaaa iwe Kiswahili au kingereza, I wish mtuachie kiswahil chetu coz hata sisi hatupendi kushare na nyie our very own language. Hata sisi tunadharau English ni vile tu mfumo wa elimu umetulazimisha bt we are very happy with our language, hata nyie mnafurahia the way we speak our Swahili bt ni vile tu hamuwez confess in public bt moyoni kinawaingia vizuri tu

Maneno mazuri sana haya
 
Huwa naona kila siku unajitetea eti nusu ya nchi yenu ni jangwa, sawa tukukubalie!

Lakini tukukumbushe kuwa kwa mbwembwe na minapi mnayopiga hapa mitandaoni kuwa nchi yenu imeendelea wala huo ukame usingekuwa shida!

Nchi nyingi ziko jangwani na zinazalisha chakula cha kutosha tena na ziada hadi zinagawa misaada!

Nyie mnaojisibu kila kukicha kuwa mmeendelea kinawashinda nini kuamzisha miradi ya imwagiliaji?

Kwa kulia lia kwako huku kila siku kunathibitisha tinachokisema kuwa kimaendeleo hata ninyi bado sana!

Kuhusu rasilimali zetu, wala zisikuimize kichwa, Maana hizi zingekuwa nchini kwenu ni dhahili zingeishia mikononi mwa mtu mmoja!

Kama ardhi tu ile inamilikiwa na familia chache, sembuse vingine, Kiukweli kwa dhana hizi hatutaweza kufanana

Isingekua kujituma kwetu, haka kainchi kenye nusu jangwa hakangeongoza Afrika Mashariki na kati kwa kila kitu kielimu, kiuchumi, kijeshi n.k.
 
Neo-colonialism on freak! Sio siri kuwa wakenya bado mnatawaliwa kifikra na waingereza! Ndio maana mnaona English ndo kila kila kitu! Huu ni ujuha wa kiwango cha PhD!

Ndugu yangu, mataifa yanayojitambua yanatumia lugha zao za asili, bila kujali udogo wa lugha hizo, angalia Korea, Japan, Hungary, China Myanmar nk bado wanazitumia!

Halafu wewe na ukubwa wako huo bado unadiriki kusema eti ndivyo tulivyolelewa hivyo, bila kujua ni akina nani hao walio walea hivyo! Wakoloni; waliwaaminisha hivyo nanyi kwa kutojitambua mkakishadadia bila kutumia akili zenu!

Tukiongelea kigezo cha lugha, Tanzania tuko superior kuliko nyie, Maana sisi tunathubutu kuongea kiswahili chetu mbele ya mataifa mengine, kitu ambacho nyie hamuwezi kwa dhana za kikoloni zilizojaa vichwani mwenu! You are so inferior to embrace your true Africanism!

Wewe ukijitapa kila mtaa na kujisifu eti unajua kuongea kiingereza sanifu, mwingereza yeye asemeje kwa mfano? Atajifunza nini akija kitalii kwenye nchi yako?

Sisi tunaendelea kupiga hatua kukikuza kiswahili, nyie endeleeni kumsaidia mkoloni kueneza kiingereza!

1.Tumefanya jitihada hadi kiswahili kimekuwa official language AU,
2. Rwanda walivyoona hii lugha inazidi kukua, wameifanya kuwa lugha rasmi ya taifa lao.
3: Vyuo vya kufundisha kiswahili vinaendelea kuongezeka nchi za ulaya, marekani na asia.
4: Kiswahili sasa hivi kinashika nafasi ya 13 kwa kuwa lugha yenyenushawishi mkubwa The 25 Most Influential Languages in the World
5:Kiswahili kinashika nafasi ya 16 kwa kuwa lugha yenye wazungumzaji wengi duniani List of languages by total number of speakers - Wikipedia

Sasa wewe endelea kushadadia ukoloni ma kuona eti ndio ujanja

Kamsaidie huyu huku What is Wrong with Tanzania?!. Tunashindwa Nini Kufikisha Bidhaa Zetu Kwenye Masoko ya Kimataifa?!.

Tanzania kama nchi, tunakabiliwa na tatizo kubwa la Wafanyabiashra wa Tanzania, kushindwa kuingiza bidhaa zetu kwenye masoko ya kimataifa!, tatizo ni nini?!.

Mifano.
Tanzania ndiye mzalishaji pekee wa madini ya Tanzanite, lakini katika masoko ya kimataifa, nchi inayoongoza kwa kuuza Tanzanite ni India, ikifuatiwa na Afrika Kusini, Lebanon, Kenya halafu ndio sisi wenye Tanzanite zetu. Kwa vile Tanzanite inapatikana Tanzania pekee, data za export market ni zile za cut and polished stones, hii inamaanisha ni Tanzanite nyingi inachimbwa na kuuzwa un cut kuliko ile tunaicharanga wenyewe!.

Tanzania iko kwenye top ten wazalishaji wa korosho. Mnunuzi mkuu wa Korossho ya Tanzania ni India akifuatiwa na Kenya, lakini kwenye urari wa soko la processed nuts, Kenya ana export korosho nyingi zaidi sokoni kuliko Tanzania, huku sisi tukiuza korosho isiyobanguliwa!.

Kwenye nchi za Afrika Mashariki, Kenya ndio inaongoza kwa kuuza vinyago ulaya, na hakuna nchonga vinyago Kenya, vyote wananunua kutoka Tanzania, Kenye ndiye muuzaji mkuu wa unga wa sembe kwenye masoko ya ulaya, lakini mahindi yote wananunua kutoka Tanzania!.

Kwenye fursa za AGOA, Watanzania tumeshindwa kuchangamkia hiyo fursa!, Wakenya wanakuja Tanzania, wananunua bidhaa, na kupeleka Kenya, kule wana process na packing na branding, then zinaingia masoko ya kimataifa as products of Kenya!. What is wrong with sisi Watanzania?!.

Katika kusaidia kwenye hili, Taasisi ya Trademark East Africa, inajaribukutusaidia!.
MICHUZI BLOG: Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) yazijengea Uwezo bidhaa za Tanzania kuingia masoko ya kimataifa.
 
Wakenya ni waongo , wanapenda waonekane wako juu wakati ki u halisia sivyo, amini amini ukaguzi wa vyeti feki ukifanywa Kenya ki uhakika kuna wizara zitafungwa kwa kukosa watumishi.
 
Back
Top Bottom