Kiswahili: Matumizi ya Herufi “L” na “R”

Hii 'nyimbo' ni nzuri.
Huu 'mwimbo' mzuri.
Badala kusema huu wimbo ni mzuri.

Watangazaji wengi vijana wasio somea mambo ya uandishi wa habari au utangazaji hasa wa redio East Africa, Clouds FM, Magic FM, E-FM, na nyingine za mtindo huo zote pamoja na wasanii wengi wa bongo flava au gospel wanatumia lugha hiyo ya wimbo mmoja kuita 'nyimbo ile', 'nyimbo yangu' badala ya wimbo wangu au 'mwimbo wangu' badala ya wimbo wangu.
 
Inakera sana mkuu
 
Sorry kwenye mwimbo nadhani sahihi ni wimbo.... Kwa mfano wimbo wa taifa, wimbo ulio bora nknk

Jr[emoji769]
 
Watangazaji wanazingua mno
 
Sorry kwenye mwimbo nadhani sahihi ni wimbo.... Kwa mfano wimbo wa taifa, wimbo ulio bora nknk

Jr[emoji769]
Neno mwimbo wangu linamaanisha mtindo wako wa kuimba.

Wimbo ni nomino lakini mwimbo ni kielezi. Kinaelezea namna unavyo imba.

Utanisamehe sio mtaalamu wa lugha mimi ni mtu wa sayansi toka sekondari hadi elimu ya juu. Naweza kuwa nimekosea.
 
Asante kwa ufafanuzi pia... Kiswahili kama lugha nyingine yoyote kimeathiriwa pia na tamaduni, mila na desturi... Kwa mfano baadhi ya makabila watoto hawawezi kabisa kusema WIMBO bali husema MWIMBO

Jr[emoji769]
 
Hii 'nyimbo' ni nzuri.
Huu 'mwimbo' mzuri.
Badala kusema huu wimbo ni mzuri.

Watangazaji wengi vijana wasio somea mambo ya uandishi wa habari au utangazaji hasa wa redio East Africa, Clouds FM, Magic FM, E-FM, na nyingine za mtindo huo zote pamoja na wasanii wengi wa bongo flava au gospel wanatumia lugha hiyo ya wimbo mmoja kuita 'nyimbo ile', 'nyimbo yangu' badala ya wimbo wangu au 'mwimbo wangu' badala ya wimbo wangu.
Hili jambo huwa linanikera mnoo! Lugha inazidi kuharibiwa kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ufafanuzi pia... Kiswahili kama lugha nyingine yoyote kimeathiriwa pia na tamaduni, mila na desturi... Kwa mfano baadhi ya makabila watoto hawawezi kabisa kusema WIMBO bali husema MWIMBO

Jr[emoji769]
Ni kweli.
Mfano ndugu zetu wakerewe, wajita na wasukuma wanasema 'kamuoshe mtoto' badala ya 'kamuogeshe mtoto'.

Unaosha maiti au vitu vyovyote visivyo hai. Ila binadamu na wanyama wengine hai unawaogesha.
 
Back
Top Bottom