Ni nini kinatukumba kwenye lugha yetu ya kiswahili!?? Huu mchanganyiko wa L na R unakuwa kasi saana. Tunaelekea wapi!?
Shuklani,, gurio
Hii 'nyimbo' ni nzuri.
Huu 'mwimbo' mzuri.
Badala kusema huu wimbo ni mzuri.
Watangazaji wengi vijana wasio somea mambo ya uandishi wa habari au utangazaji hasa wa redio East Africa, Clouds FM, Magic FM, E-FM, na nyingine za mtindo huo zote pamoja na wasanii wengi wa bongo flava au gospel wanatumia lugha hiyo ya wimbo mmoja kuita 'nyimbo ile', 'nyimbo yangu' badala ya wimbo wangu au 'mwimbo wangu' badala ya wimbo wangu.
Inakela sana watu wanahalibu luga makusudi kabisa!!
Siku hizi hata ledioni unakuta wanahalibu!!
Ipitishwe shelia kukomesha iko kitu!!
Makubwa[emoji1552][emoji3603][emoji1552][emoji3603][emoji1552][emoji3603][emoji1552][emoji3603]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani sijawahi waelewa kabisaHii 'nyimbo' ni nzuri.
Huu 'mwimbo' mzuri.
Badala kusema huu wimbo ni mzuri.
Watangazaji wengi vijana wasio somea mambo ya uandishi wa habari au utangazaji hasa wa redio East Africa, Clouds FM, Magic FM, E-FM, na nyingine za mtindo huo zote pamoja na wasanii wengi wa bongo flava au gospel wanatumia lugha hiyo ya wimbo mmoja kuita 'nyimbo ile', 'nyimbo yangu' badala ya wimbo wangu au 'mwimbo wangu' badala ya wimbo wangu.
Utasikia kwa majina naitwa badala ya kwa jina naitwa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kiswahil kigun sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hii ya kuongeza au kuondoa h
Mfano "ela", " hau", "ali ya ewa ya hanga" nk
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inakela sana watu wanahalibu luga makusudi kabisa!!
Siku hizi hata ledioni unakuta wanahalibu!!
Ipitishwe shelia kukomesha iko kitu!!
Makubwa[emoji1552][emoji3603][emoji1552][emoji3603][emoji1552][emoji3603][emoji1552][emoji3603]
Sent from my iPhone using JamiiForums
alimaanisha kigumu !! hiyo ni spelling mistake..
Hahahahahaha Mkuu anzisha thread maalum kwa wale wa still bado na halafu thenalimaanisha kigumu !! hiyo ni spelling mistake..
OMG !! asiee mie ndo mkereketwa wa Lugha na lafudhi hizi adhimu za Alwatan..!!Hahahahahaha Mkuu anzisha thread maalum kwa wale wa still bado na halafu then
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nini kinatukumba kwenye lugha yetu ya kiswahili!?? Huu mchanganyiko wa L na R unakuwa kasi saana. Tunaelekea wapi!?
Shuklani,, gurio
Hahahahahah mimi huwa nasema si wawe wanaongea tu kiswahili? Haya masuala ya kuchanganya mwisho wanatia aibu wangeacha tuOMG !! asiee mie ndo mkereketwa wa Lugha na lafudhi hizi adhimu za Alwatan..!!