Kiswahili: Matumizi ya Herufi “L” na “R”

Kiswahili: Matumizi ya Herufi “L” na “R”

Niliwahi kumsikia nguli wa kiswahili, rais mstaafu akisema neno "nyimbo" halina umoja. Anayesema nyimbo hii yuko sahihi
Hii 'nyimbo' ni nzuri.
Huu 'mwimbo' mzuri.
Badala kusema huu wimbo ni mzuri.

Watangazaji wengi vijana wasio somea mambo ya uandishi wa habari au utangazaji hasa wa redio East Africa, Clouds FM, Magic FM, E-FM, na nyingine za mtindo huo zote pamoja na wasanii wengi wa bongo flava au gospel wanatumia lugha hiyo ya wimbo mmoja kuita 'nyimbo ile', 'nyimbo yangu' badala ya wimbo wangu au 'mwimbo wangu' badala ya wimbo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakela sana watu wanahalibu luga makusudi kabisa!!
Siku hizi hata ledioni unakuta wanahalibu!!
Ipitishwe shelia kukomesha iko kitu!!

Makubwa[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23]
Inakela sana watu wanahalibu luga makusudi kabisa!!
Siku hizi hata ledioni unakuta wanahalibu!!
Ipitishwe shelia kukomesha iko kitu!!

Makubwa[emoji1552]‍[emoji3603][emoji1552]‍[emoji3603][emoji1552]‍[emoji3603][emoji1552]‍[emoji3603]

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii 'nyimbo' ni nzuri.
Huu 'mwimbo' mzuri.
Badala kusema huu wimbo ni mzuri.

Watangazaji wengi vijana wasio somea mambo ya uandishi wa habari au utangazaji hasa wa redio East Africa, Clouds FM, Magic FM, E-FM, na nyingine za mtindo huo zote pamoja na wasanii wengi wa bongo flava au gospel wanatumia lugha hiyo ya wimbo mmoja kuita 'nyimbo ile', 'nyimbo yangu' badala ya wimbo wangu au 'mwimbo wangu' badala ya wimbo wangu.
Yaani sijawahi waelewa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakela sana watu wanahalibu luga makusudi kabisa!!
Siku hizi hata ledioni unakuta wanahalibu!!
Ipitishwe shelia kukomesha iko kitu!!

Makubwa[emoji1552]‍[emoji3603][emoji1552]‍[emoji3603][emoji1552]‍[emoji3603][emoji1552]‍[emoji3603]

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Kweli hata "h" kwenye uandishi hata matamshi imekuwa ikipuuzwa mfano, 'hakuna kama mama' utasikia mtu anasema au kuandika ' akuna kama mama'. Vilevile imekuwa kawaida watu kuweka matumizi ya "h" ambapo hapahusiani
Ni nini kinatukumba kwenye lugha yetu ya kiswahili!?? Huu mchanganyiko wa L na R unakuwa kasi saana. Tunaelekea wapi!?

Shuklani,, gurio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom