Kiswahili: Matumizi ya Herufi “L” na “R”

Kiswahili: Matumizi ya Herufi “L” na “R”

Hii 'nyimbo' ni nzuri.
Huu 'mwimbo' mzuri.
Badala kusema huu wimbo ni mzuri.

Watangazaji wengi vijana wasio somea mambo ya uandishi wa habari au utangazaji hasa wa redio East Africa, Clouds FM, Magic FM, E-FM, na nyingine za mtindo huo zote pamoja na wasanii wengi wa bongo flava au gospel wanatumia lugha hiyo ya wimbo mmoja kuita 'nyimbo ile', 'nyimbo yangu' badala ya wimbo wangu au 'mwimbo wangu' badala ya wimbo wangu.
Watangazaji na wasanii ni waharibifu wa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakela sana watu wanahalibu luga makusudi kabisa!!
Siku hizi hata ledioni unakuta wanahalibu!!
Ipitishwe shelia kukomesha iko kitu!!

Makubwa[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweri,shelia ipitishwe kukomesha hawa wanaohalibu rugha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii 'nyimbo' ni nzuri.
Huu 'mwimbo' mzuri.
Badala kusema huu wimbo ni mzuri.

Watangazaji wengi vijana wasio somea mambo ya uandishi wa habari au utangazaji hasa wa redio East Africa, Clouds FM, Magic FM, E-FM, na nyingine za mtindo huo zote pamoja na wasanii wengi wa bongo flava au gospel wanatumia lugha hiyo ya wimbo mmoja kuita 'nyimbo ile', 'nyimbo yangu' badala ya wimbo wangu au 'mwimbo wangu' badala ya wimbo wangu.
..na mwimbaji ipo sahihi?
 
Back
Top Bottom