Kiswahili: Matumizi ya Herufi “L” na “R”

Neno dharura ni Kiarabu 100%
 
Kiswahili kweli kimechafukwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Kama mchafukoge

Jr[emoji769]
 
Habari wakuu?

Unakuta mtu anafuma uzi wake anatuchunganya yeye na wachangiajiaji wake

Unakuta kwenye kuandika l anaandika R na R anaandika L najiuliza Hawa watu Wana misabiati yao au?
 
'Anatuchunganya' ni nini?

'wachangiajiaji' ??

'anaandika' ??

'Misabiati' ??
 
Habari wakuu?
Unakuta mtu anafuma uzi wake anatuchunganya yeye na wachangiajiaji wake

Unakuta kwenye kuandika l anaandika R na R anaandika L najiuliza Hawa watu Wana misabiati yao au?
Hi - Hii
Anatuchunganya - Anatuchanganya
Wachangiajiaji - Wachangiaji
Misabiati - Misamiati

Kasoro zenye kasoro.
 
Wazee wa L kuwa R na R kuwa L naona mmekuja walimu wa shule za kiswahili za kata!

Mmenichambua haswa
 
Wazee wa L kuwa R na R kuwa L naona mmekuja walimu wa shule za kiswahili za kata!

Mmenichambua haswa
sisi sio warimu wa shure ya kiswahiri ira tunauerewa wa maswara mbari-mbari ya rugha na tunaijua kweri-kweri.
 
Habari wakuu?
Unakuta mtu anafuma uzi wake anatuchunganya yeye na wachangiajiaji wake

Unakuta kwenye kuandika l anaandika R na R anaandika L najiuliza Hawa watu Wana misabiati yao au?
Hili sasa hivi ni tatizo la kitaifa,zamani ilikuwa inafuatiliwa hasa level ya primary na secondary lakini sasa hivi naona hakuna ufuatiliaji ni free range...
 
Wee mwenyewe umechapia khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…