Kitabu cha Enock (Henoko)

Huwa nawashauri watu kabla.ya kuingia kwenye Mijadala.ya Kielimu wajielimishe kwanza kiasi cha kuweza kufanya Confrotation..

Kasome kuhusu Council of Jamnia (au Yavneh) cha mwaka 90CE
Huko uongo ndiko ulianzia kwenye hiyo mikutano kama uongo mwingine ule wa.kusema kanisa la kwanza lilianzia Roma na sio Uyahudi alikozaliwa Yesu na mitume
 
Hayo ya Henoko yalikuwa mahubiri yasiyo na ushahidi wa kimaandiko
Hata mahubiri ya Yesu sio yote yako kwenye Biblia yalichukuliwa machache tu yakawekwa kwenye Biblia sio yote

Hayo ya Henoko pia hayana ushahidi wa kimaandiko ila ni mahubiri mazuri hayapingani na Original Bible wala kinyume na Mungu
 
Huko uongo ndiko ulianzia kwenye hiyo mikutano kama uongo mwingine ule wa.kusema kanisa la kwanza lilianzia Roma na sio Uyahudi alikozaliwa Yesu na mitume
Nakubaliana na Wewe Kabisa Huko ndiko Uongo ulikozaliwa!

Kwa kuficha Maovu na Kuweka watu kwenye Giza Na kuficha Au kuondoa Baadhi ha vitabu mabaraza mbalimbali yalianzishwa na yakapewa Jukumu hilo leo hii watu wengi wanakosa maarifa watu wengi wanadanganyika kuhusu maandiko na Tafsiri yake..

MAbaraza haya ya Kimaamuzi ya Kidini (Ecumenical Councils) pia Senhedrin (Kiyahudi) ndo yametufikisha Hapa Katika stages ya Madhehebu na Dini Kuwa Tofauti..

Kama Umesoma Churches History utakubaliana na Mimi kwamba Popte ambapo mabaraza yalipoanzishwa kulikuwa na Mgawanyiko au Mgongano wa Kimaandiko ama Wa Kifacts kuhusu Maandiko..

Na mabaraza hujigeuza Mungu Kuamua Kuhusu Hilo..

Tukianza Council of Jerusalem Balaza ambalo liliamua Ugomvi juu ya Petro na Paulo kwa Kuruhusu Mila ya Abrahamu kupuuzwa na Kruhusiwa Watu kubatizwa bila ya kutahiriwa na mila zingine zilizokuwa za Kiyahudu..

Sitaki kuingia sana huko ila Mabaraza ndiyo yametufikisha hapa Kuamini kwamba Kuna Nafsi moja Mbovu mbaya Inaitwa Lucifer au kuna mtu mmoja anaitwa Lucifer wakati huo Hakuna Jina kama hilo maana Lugha ya Kilatini Si lugha ya zamani kufikia Kuitwa Jina la malaika mwenye umri mkubwa kuliko Lugha hiyo..

I rest my Case
 
Kitabu cha Yuda KimeQoutes Kitabu cha Henock (Enock)..Ina maana kama Kitabu cha Enock ni kitabu cha Shetani kwanini Yuda Mtakatifu atoe Baadhi ya Mistari kwenye Kitabu cha Shetani na akielezee kama msingi wa imani yake?

.Jude 1:14-15 (KJV):

"And Enoch also, the seventh from Adam, prophesied of these, saying, "Behold, the Lord cometh with ten thousands of his saints, To execute judgment upon all, and to convince all that are ungodly among them of all their ungodly deeds which they have ungodly committed, and of all their hard speeches which ungodly sinners have spoken against him."

Umeona hiyo Passage Imetolewa kwenye Kitabu cha Enock Thanks kwa yuda kwa Kutaja kabisa maana asingetaja maybe tungesema Vingine

1 Enoch 1:9 (Au simply the Book of Enock 1:9)

"And behold! He cometh with ten thousand of His holy ones to execute judgment upon all, and to destroy all the ungodly: and to convict all flesh of all the works of their ungodliness which they have ungodly committed, and of all the hard things which ungodly sinners have spoken against Him."
 
Kuna mambo mengi yaliachwa, kwa mfano barua aliyoiandika Ponsio Pilato akijuta kumhukumu yesu kifo, Ni barua genuine, lakini haimo kwny vitabu vya Biblia.📌🔨
 
Naona hoja za msingi unazikimbia, unaleta tu porojo hapa za kunipotezea muda ilhali huna ushahidi wowote wa kimaandiko. Jielimishe kwanza ndio ujenge hoja kwenye issue serious.
 
Huyu jamaa, nimempa hilo andiko huko juu kwenye post # 36, akawa anarukaruka tu. Ni mweupe na hajui kitu. Huna haja ya kupoteza muda wako maana anabishana kwa asichokijua.
 
Mwanzo 5:24
[24]Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu alimtwaa.
And Enoch walked with God: and he was not; for God took him.
 
Jee hii picha ya enoko baka walipiga wapi?
 


Hapo ndo inakuja ile theoelojia siku moja sawa na miaka elfu, na miaka elfu sawa na siku moja....

Sasa kuwa consistent kwa miaka mia tatu sio kipolepole....🤩.
 
Uwezo wa Kiroho aliokuwa nao Enoch, Imani yake Kwa Mungu, na ile kutambua kwake chochote anaweza kufanya Duniani, Yani anaweza kusimamisha Jua akiamua, anaweza kusimamisha Mvua akitaka, na mambo mengine mengi...!

Na kumbuka kipindi hiko Nguvu ya jina la Yesu lilikua halijaanza kutumika, Damu ya Yesu haijaanza kutumika, lakini alikua na Imani na Mungu kiasi Cha kufanya Mambo ya Ajabu.

Kwa ule uwezo aliokuwa nao na vile aliamua kutembea na Mungu Kwa uaminifu...!


Mungu akaona Enoch anapoelekea Kuna siku anaweza kuamua tu Dunia iishe twende Mbinguni....!
Kwa namna alivyoishi Kwa Utakatifu, akaona amchukue tu asisababishe Majanga Duniani, ni kama Binadamu aliyekuja Siri nyingi za Mungu Kwa namna alivyomfanya kuwa rafiki.
 
To me an angel is just a philosopher, who cant reveal his identity.

Tuelewe kwanza maana ya mungu kama neno, halafu pia tuondoe ile taswira ya otherworld, I mean mungu wa mbinguni,

Hawa malaika walikuwa na uwezo wa roho mtakatifu kama wanavyopenda kujinadi, usiku mwema
 
100% ya watu wa tanzania hawaelewi lugha ya kiswahili lakini ndio huwa wanasimama mstari wa mbele kuwa watafsiri wa maandiko yanyozungumza maadili ya watu wengine!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…