Ithibitishe wapi na lwa nani?Swala siokupotea ndugu,naongelea udhibitisho wa taarifa mtu anayotoa kuhusianana tukio la mtu kupotea.
Ukisema mtuflani anahusika kumuua ama kumpoteza mtu flani sio jambo lakiningajinga,inabidi udhibitishe ilikusaidia uchunguzi.
Sasauyo kama ameandika kitabu kabisa maanayake kunakituanachokijua.
Familia isimpuuze maana watakao soma hichokitabu kamakipo then watajua nikweli, apelekwe mahakamani Ili adhibitishe.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Magufuli mwenyewe alitokea nchi gani jirani au unafikiri tumesahau?Huyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Na Magufuli muuaji ni MrundiErick Kabendera ww ni Mrundi
Endelea na alfu lela ulela..............Ulishawahi kusoma kitabu cha alfu lela ulela? Kuna haduthi ya ndoto za Alinacha.
Huyu alikuwa anafanya biashara ya chupa, alikuwa anaota kupata faida na kuwa tajiri hadi kumuoa bimti mfalme
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.Kabendera kapitia changamoto nyingi sana.kukamatwa kwake,kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.
Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda...
Weka nakala hapa, hatuwezi kujadiri hearsay kama wewe unavyomkosoa Kabendera na sisi unatuingiza kwenye mkenge huohuo wa hearsay.Kabendera kapitia changamoto nyingi sana.kukamatwa kwake,kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake...
Neno linasemaUfunuo wa Yohana 14:13
Kwa jinsi huyo mama anavyopenda madaraka hiyo kujiuzulu ilikua danganya toto..!Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Wamshitaki Kabendera tujue zaidi.Kwa jinsi huyo mama anavyopenda madaraka hiyo kujiuzulu ilikua danganya toto..!
Swali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
PerfectTukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana.kukamatwa kwake,kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.
Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda...