Wala haisaidii .
Katika zama hizi za kidijitali mnaamini mkifungia kitabu ndio watu hawatokipata?
Saikolojia ya mwanadamu ni unapofungia kitu kwa kutumia nguvu nyingi ndio unampa njia nyingi kukitafuta sasa, acha watu wasome kitabu wakichambue kadiri ya wanavyoelewa.
Nilisikia Tanzania tovuti za ngono zimefungiwa kwani unaamini hiyo ndio suluhu ya watu kuacha kuangalia, unafungia tovuti halafu watu wanatumia VPN bado kuzipata hapo umezuia nini?