Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Wala haisaidii .

Katika zama hizi za kidijitali mnaamini mkifungia kitabu ndio watu hawatokipata?

Saikolojia ya mwanadamu ni unapofungia kitu kwa kutumia nguvu nyingi ndio unampa njia nyingi kukitafuta sasa, acha watu wasome kitabu wakichambue kadiri ya wanavyoelewa.

Nilisikia Tanzania tovuti za ngono zimefungiwa kwani unaamini hiyo ndio suluhu ya watu kuacha kuangalia, unafungia tovuti halafu watu wanatumia VPN bado kuzipata hapo umezuia nini?
 
Swala siokupotea ndugu,naongelea udhibitisho wa taarifa mtu anayotoa kuhusianana tukio la mtu kupotea.

Ukisema mtuflani anahusika kumuua ama kumpoteza mtu flani sio jambo lakiningajinga,inabidi udhibitishe ilikusaidia uchunguzi.

Sasauyo kama ameandika kitabu kabisa maanayake kunakituanachokijua.

Familia isimpuuze maana watakao soma hichokitabu kamakipo then watajua nikweli, apelekwe mahakamani Ili adhibitishe.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ithibitishe wapi na lwa nani?
 
Ni sawa tu na kufungia nyimbo za kina roma na wakati mtaani watu wanazipiga kila siku. Teknolojia ni hatari sana yan siku hizi ukitupia tu kitu mtandaoni ndani ya dk 0 tayari kiko viral. Na ukitumia nguvu kuzuia ndio kwanza unawaambia watu wakitafute.
 
Akithibitisha wewe utasemaje? Unatoa hukumu utadhani wewe ndiye mwenye kujua kila kitu kilichofanyika dhidi ya Ben Saanane.
 
Ulishawahi kusoma kitabu cha alfu lela ulela? Kuna haduthi ya ndoto za Alinacha.
Huyu alikuwa anafanya biashara ya chupa, alikuwa anaota kupata faida na kuwa tajiri hadi kumuoa bimti mfalme
Endelea na alfu lela ulela..............
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.

Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.

Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.

Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.

Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.

Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.

Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana.kukamatwa kwake,kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda...
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
 
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Kwa jinsi huyo mama anavyopenda madaraka hiyo kujiuzulu ilikua danganya toto..!
 
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Swali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?

Hizi ni porojo kama za Yericko kwenye cover ya Jason Borne kwamba Ridhiwani Kikwete alikamatwa na drugs china ndege ya Rais ikaruka usiku kwenda kumaliza issue.

Kuwa makini sana na Watanzania siyo trustworthy society, waongowaongo, ndio maana hata Lisu naona niwalewale tu wapayukaji.
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana.kukamatwa kwake,kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda...

Shida ni kutokufanyia uchunguzi matukio ya kinyama yaliyotokea ktk utawala wa Jpm.

Uchunguzi ungefanyika UKWELI ungejulikana, na taifa lisingeingia katika tuhuma ambazo hazijathibitishwa.
 
Back
Top Bottom