Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaha tunaamini kabisa Kabendera hajui alichokiandika? au tunajifariji?Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina.. bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.
Uzuri watanzania sio wanunuzi wa vitabu hawapendi kusoma tabu lake labda awauzie wazunguHuyu jamaa kazua kizaazaa naona mitandao yote inajadili kitabu cha kabendela ameamua kujitoa mhanga
Hatari sana...Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Kwa mfumo dume uliopo Afrika, kama mkeo ni mwanasiasa, na anapanda madaraja kila wakati. Fahamu tu kwamba kuna WATU wanaompandisha.Kwa jinsi huyo mama anavyopenda madaraka hiyo kujiuzulu ilikua danganya toto..!
Rais na makamu wake huzungukwa na watu 24/7!Hii ya magufuli kutaka kumbaka Samia ni utoto huu ameandika. Labda angesema alitaka kumpiga inge-make sense.
ahahahaha.Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Mshitakini mahakamani tujue mbivu na mbichi zipi.ahahahaha.
Kama kweli kaandika mambo haya ,bas nakubaliana na mleta uzi, huyu bwana asaidiwe , this may possibly be a serious mental case
Alimtolea kauli fulani za kibashabasha kwamba Samia mzuri kama vile nyuma ya pazia anaweza kumpitia.
Uzuri upo kwenye jicho la muangakiaji.Nikuulize swali.
Sa99+1 ni mzuri kumzidi mama Janeth?
Hiki kingereza humu naona kama kimekaa kinamna flan hiviii..354 for sanctimoniousness duh it is so sad
View attachment 3190754
Huyo Kabendera anasoma Ph.D Katika chunky cha King’s College London moja ya vyuo vikuu bora kabisa duniani akiwa na Scholarship. Pia ni mwandushi wa magazeti mbalimbali duniani yakiwemo Guardian na the EconomicLabda ana tafuta pesa hata kwa kuuza fake news, si unajua alishindwa kesi na Vodacom majuzi kati, anafikiri mambo ni rahisi rahisi.
Akishitakiwa na kupatikana na hatia napo mtasema mahakama hazijatenda haki.Nendeni mahakamani mkavuliwe nguo , hakuna mwenye uthubutu Tanzania hii wa kupeleka kesi mahakamani.....Huko serikalini wanachekecha namna ya kumteka
mh!@isee!Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Hakujawahi kuwa na mkuu wa majeshi mwenye jina hiloUsikatae moja kwa moja ukweli unaweza kuwepo na pia uongo unaweza kuwepo. Yote yanawezekana, japo mara nyingi wengi waligundulika si kweli.
Issue ya rizwan kukamatwa na unga China alafu baba yake akawapa wachina gesi ili uachie ilikua inazungumzwa na top politicians kabisa na waandishi nguli. Mwisho ikaja kujulikana si kweli
Mwaka 2015 Kuna yule kijana aliyeandika mkuu wa majeshi mwansansu amelishwa sumu. Ilikua hot topic humu na magazetini. Chadema wakaingia front kumsaidia yule dogo alipokamatwa, alifikishwa mahakamani kuthibitisha mkuu wa majeshi kalishwa sumu. Yule kijana watu walikua wakimvimbisha kichwa kuwa ni kweli, utetezi basi akasisitiza ana uhakika mkuu wa majeshi kalishwa sumu na yupo hoi kitandani Kama ni uongo wampeleke pale mahakamani. Kumbe mwansansu yupo anaendelea na kazi na kesho yake alienda kuzindua uwanja wa ndege wa jeshi morogoro. Yule kijana nadhani hadi Leo alijifunza somo kubwa sana
Aah hapana brother, mimi sihusiki, nasoma tu yanayoletwa humuMshitakini mahakamani tujue mbivu na mbichi zipi.
Mimi niliambiwa jiwe alimuwa mtu kwa kumpiga risasi ikulu ni mda sanaKuna jamaa zangu wanafanya kazi chombo nyeti cha usalama nchini nao waliniambia suala alilosema Kabendera kwenye kitabu chake. Tena mimi niliambiwa since 2020 Magufuli akiwa hai.
So aliyosema Kabendera sio chuki ndo ukweli wenyewe
Atakua anamaanisha MwamunyangeHakujawahi kuwa na mkuu wa majeshi mwenye jina hilo