Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Povu ni hili. Pole sana.Daah hili povu sio la kawaida. Haya yote sababu msukuma mwenzio kaguswa au kuna lingine. Tafuteni watu wa kutetea lakini sio katili Magufuli
Sisi tunataka wajichanganye kumpeleka mahakamani ili atoe yale mazito yaliyoko gizani hizo ramli chonganishi za akishindwa kaa nazo hazina kazi hapa 🚮🚮🚮Akipelekwa na akishindwa msianze kusema mahakama haikutenda haki….
Mnachojua wewe na nani? Chiba?Tunachojua Kabendera kaongea ukweli, hayo mengine utajua ww.
Huenda hajataka iwe na ugumu, ametaka tu iwe kama hadithi nyepesi kwa msomaji kuielewa, labda akipelekwa mahakamani hiyo "nimeambiwa" ataidadavua kisheria kama unavyopendekeza.Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.
Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.
Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.
Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.
Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.
Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.
Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.
Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Go suck him up.Do you have the faintest idea of what he has been subjected by the dead tyrant?
Iheshimu mbege acha dharauHii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru
Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao
Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege
Mlale unono😀
Wewe una project ukabila wako tu.Naona unafanya smear campaign.
The Sukuma are feeling attacked.
You only remember what was, you are unable to accept what can be.
Haisaidii kitu kumsafisha mungu wenu wa chato , dikteta uchwaraView attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
Mbege iko wapi jamani, maana napenda sana.Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru
Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao
Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege
Mlale unono😀
Source ya uongo wako ni ipi ?Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru
Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao
Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege
Mlale unono😀
Mbona unamsemea rais wewe ulikuwepo au ulikuwa unaishi na huyo rais?Beni ni mdogo sana mbele ya raisi, mpaka mtu uitwe ikulu ni kazi, kuonana na raisi ni kazi, huoni huo ni uwongo uliokolea? Bila aibu, raisi ainue bunduki na kumpiga mtu risasi!!! Angalau angesema japo hana ushahidi kuwa alituma wasaidizi.
Yuko wapi sasa!?Hivi kile kitabu I am the.state cha.akina Meena nacho kilisemaje.
Tunaridhika kusikia the other side of the Late President John M. Lets embrace it. Tulikuwa kwenye vita ya kiuchumi na.wasaliti huwa wanakula lead or silver.
Tena jianamme la hovyo kabisa Hilo Nyani G Mkuu. Anafikiri watu wako serious na kazi wana mambo ya kujiremba? Kwanza mwanaume wa kweli ajirembe kwani ni shoga? Amezoea kuona mashoga wakijiremba huko wanakobeba box. Kabendera ndiyo Mwanaume haswa. Apewe heshima yake.Ni ujinga wa hali ya juu kujadili muonekano wa mtu. Mwanamme mzima hovyo!.
Umekisoma kitabu?Wewe una project ukabila wako tu.
Couldn’t care less about Magufuli’s ethnic background.
I benefit nothing from it. Sikuwahi kukutana naye hata siku moja.
Wewe ulivyo mkabila unadhani na wenzio tuko hivyo.
Mimi sijamtetea Magufuli.
Nimehoji tu veracity ya madai ya huyo Kabendera.
Mtu hajatoa ushahidi wowote ule kuhusu hayo madai yake.
Kwa nini tusihoji?
Mnataka wote tu fall in line in believing everything he’s saying?
That’s dumb.
Hata hili nalo bado linamuonyesha kabendera hayuko timamu akiliniMshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Kweli kabisaShida ni kutokufanyia uchunguzi matukio ya kinyama yaliyotokea ktk utawala wa Jpm.
Uchunguzi ungefanyika UKWELI ungejulikana, na taifa lisingeingia katika tuhuma ambazo hazijathibitishwa.
Yani Magufuli abake mtu mzima kama Samia? That case is beyond hatred. Out of all girls aliokuwa na access nao achague kubaka mtu mzima.Yeye ndo inatakiwa athibitishe kwamba Samia alitaka kubakwa maana yeye ndo katuhumu
Kuna watu mko wagumu sana kusoma picha.Umeanza maandiko ya kike. Yaani yule dem kwa mbali anamuangalia Kabendera tayari umeanza kuvaa, kufua na kuanika Kanga zenye maneno yenye mipasho..
Growup mkuu, you far better than this
Akili za kuambiwa unachanganya na za kwako. Hili suala si jepesi. HALITAKUWA JEPESI. RAIS KUUA MTU LIVE. NI STORY KUBWA SANA.Huenda hajataka iwe na ugumu, ametaka tu iwe kama hadithi nyepesi kwa msomaji kuielewa, labda akipelekwa mahakamani hiyo "nimeambiwa" ataidadavua kisheria kama unavyopendekeza.