Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Naona unafanya smear campaign.

The Sukuma are feeling attacked.

You only remember what was, you are unable to accept what can be.
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.

Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.

Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.

Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.

Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.

Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.

Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Huenda hajataka iwe na ugumu, ametaka tu iwe kama hadithi nyepesi kwa msomaji kuielewa, labda akipelekwa mahakamani hiyo "nimeambiwa" ataidadavua kisheria kama unavyopendekeza.
 
Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru

Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao

Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege

Mlale unono😀
Iheshimu mbege acha dharau
 
Naona unafanya smear campaign.

The Sukuma are feeling attacked.

You only remember what was, you are unable to accept what can be.
Wewe una project ukabila wako tu.

Couldn’t care less about Magufuli’s ethnic background.

I benefit nothing from it. Sikuwahi kukutana naye hata siku moja.

Wewe ulivyo mkabila unadhani na wenzio tuko hivyo.

Mimi sijamtetea Magufuli.

Nimehoji tu veracity ya madai ya huyo Kabendera.

Mtu hajatoa ushahidi wowote ule kuhusu hayo madai yake.

Kwa nini tusihoji?

Mnataka wote tu fall in line in believing everything he’s saying?

That’s dumb.
 
Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru

Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao

Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege

Mlale unono😀
Mbege iko wapi jamani, maana napenda sana.
 
Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru

Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao

Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege

Mlale unono😀
Source ya uongo wako ni ipi ?
 
Beni ni mdogo sana mbele ya raisi, mpaka mtu uitwe ikulu ni kazi, kuonana na raisi ni kazi, huoni huo ni uwongo uliokolea? Bila aibu, raisi ainue bunduki na kumpiga mtu risasi!!! Angalau angesema japo hana ushahidi kuwa alituma wasaidizi.
Mbona unamsemea rais wewe ulikuwepo au ulikuwa unaishi na huyo rais?
Moyo wa mtu ni kiza kinene.
 
I'm
Hivi kile kitabu I am the.state cha.akina Meena nacho kilisemaje.

Tunaridhika kusikia the other side of the Late President John M. Lets embrace it. Tulikuwa kwenye vita ya kiuchumi na.wasaliti huwa wanakula lead or silver.
Yuko wapi sasa!?
 
Ni ujinga wa hali ya juu kujadili muonekano wa mtu. Mwanamme mzima hovyo!.
Tena jianamme la hovyo kabisa Hilo Nyani G Mkuu. Anafikiri watu wako serious na kazi wana mambo ya kujiremba? Kwanza mwanaume wa kweli ajirembe kwani ni shoga? Amezoea kuona mashoga wakijiremba huko wanakobeba box. Kabendera ndiyo Mwanaume haswa. Apewe heshima yake.
 
Wewe una project ukabila wako tu.

Couldn’t care less about Magufuli’s ethnic background.

I benefit nothing from it. Sikuwahi kukutana naye hata siku moja.

Wewe ulivyo mkabila unadhani na wenzio tuko hivyo.

Mimi sijamtetea Magufuli.

Nimehoji tu veracity ya madai ya huyo Kabendera.

Mtu hajatoa ushahidi wowote ule kuhusu hayo madai yake.

Kwa nini tusihoji?

Mnataka wote tu fall in line in believing everything he’s saying?

That’s dumb.
Umekisoma kitabu?
 
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Hata hili nalo bado linamuonyesha kabendera hayuko timamu akilini
 
Umeanza maandiko ya kike. Yaani yule dem kwa mbali anamuangalia Kabendera tayari umeanza kuvaa, kufua na kuanika Kanga zenye maneno yenye mipasho..
Growup mkuu, you far better than this
Kuna watu mko wagumu sana kusoma picha.

Sasa ngoja nikujulishe leo ili kuokoa brain cells zako.

Hivi miaka yote hii hujagundua tu kwamba nilisha ku ignore? Mara ngapi unanikuu na mimi wala sikujibu?

Nawe hata kustuka tu kwamba huenda huyu jamaa kani ignore, hakuna?

Sasa sikiliza. I ignored you for a reason.

Usijihangaishe tena kuninukuu maana I’m going back to ignoring you.

Nimeamua tu nikujibu hapa maana nimeona hata hustukii kwamba nimeku ignore.

Don’t bother engaging me. Just mind your own business.

Your opinions are irrelevant to me.

Hope that helps. Back to ignoring you.

IMG_7396.jpeg
 
Huenda hajataka iwe na ugumu, ametaka tu iwe kama hadithi nyepesi kwa msomaji kuielewa, labda akipelekwa mahakamani hiyo "nimeambiwa" ataidadavua kisheria kama unavyopendekeza.
Akili za kuambiwa unachanganya na za kwako. Hili suala si jepesi. HALITAKUWA JEPESI. RAIS KUUA MTU LIVE. NI STORY KUBWA SANA.
 
Back
Top Bottom