Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Yani Magufuli abake mtu mzima kama Samia? That case is beyond hatred. Out of all girls aliokuwa na access nao achague kubaka mtu mzima.
Hawa madogo hawataki hata kufikiria...wamegoma kabisa. Wanabeba kila kitu wanakishabikia. Rais alikuwa na uwezo wa kuwa na wanawake wazuri kirahisi. Akabake mtu mzima tena Makamu? Walikuwa wanaishi room moja? Hawa madogo wanatuona sisi vilaza sana.
 
Hafai kabsa huyo boya,

Hajui kuwa magufuli bado anaishi dani ya damu za watanzania wote wenye akili timamu tu.
 

Unafikiri mwenye amri ya mwisho nchi hii ni nani? Rais akimwambia makamu wa rais leo tunakazi ya kufanya usiku unadhani makamu atakataa?
 
Hawa madogo hawataki hata kufikiria...wamegoma kabisa. Wanabeba kila kitu wanakishabikia. Rais alikuwa na uwezo wa kuwa na wanawake wazuri kirahisi. Akabake mtu mzima tena Makamu? Walikuwa wanaishi room moja? Hawa madogo wanatuona sisi vilaza sana.
Huyo pumbavu amehakikisha amepata uraia wa UK kabla ya ku release haya matapu tapu yake. A book with full of fallacy stories.
 
Hata ukini ignore who cares, hiyo hainihusu. Unadhani mimi nipo hapa kutafuta attention? Mimi nipo hapo kwa ajili ya kusoma michango ya watu ukiwemo wewe.
Labda uache kuandika, kinyume na hapo utaishia kuji ignore mwenyewe tu na dead brain yako.

Rudi kavae tena kanga zenye maneno ya mipasho urudi hapa, tena safari hii jimwagie maji kabisa.
 
Mtanzania halisi hawezi kufurahia kuona damu zikimwagika. Sisi tuliosoma miaka hiyo Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea na kupinga Udikteta hatuwezi Kuvumilia tunayoyaona na kusikia na uzee huu. Hatukuzoea haya maisha kabisa. Kuna familia zimeumizwa kwa kupoteza wapendwa wao na hawakuwazika. Wamepoteza fedha na mali zao wakaachwa maskini kupitia plea bargain ambayo fedha na mali zake ni utata. Enzi zetu zile ukileta za kule unawekwa kizuizini na mifano IPO sitaki kuitaja. Rudini kwenye historia ya hii nchi. Nchi hii tumefunga mikanda mpaka ikaitwa nchi ya Amani. Leo hii tunashika headlines za vyombo vya habari duniani kwa mambo ambayo ni aibu . Laiti angefufuka muasisi wa Tanzania angeomba afe na asifufuke tena maana ambayo angeyaona na kuyasikia angefikiri tuko nchi nyingine na siyo ile nchi ya Amani aliyoijenga miaka zaidi ya 30.
 
Mkuu Umeandi💪 Hao ndio wabongo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…