Naunga hoja mkono.Acheni kututoa kwenye mjadala wa kitaifa...
21st January.
Hizi nonsense nendeni nazo huko vijiweni. Matako yenu
Ebanaeee kwa hio mzigo uliliwa au?Je kama alimuita ofisini kwake na Samia kuingia kamkuta jamaa ndani ya Pajama?
Nafikiri njia sahihi ni kuhitaji ufafanuzi zaidi wa suala hili kwa kusoma hicho kitabu zaidi.
Wenye mawazo kama yako siwatofautishi na Raia wa Zaire waliomuua P. Lumumba kwa mikono Yao. Na Zaire iliadhibiwa kwa dhambi hii.Hata hivyo, hapa wataadhibiwa wale tu walio na wanaofanya dhambi ya namna hii haitaadhibiwa nchi nzima!!....kipengele sana....
Huo ushahidi usio na shaka kuwa Magufuli ni muuaji uko wapi?Inashangaza sana kuona mtu kama Nyani Ngabu anatetea mtu ambae kuna ushahidi usiotiliwa shaka kuwa alikuwa katili na muuaji.
Kisa ukabila tu?! Haiingii akilini.
Kwa hio alitoa mzigo?Kwa jinsi huyo mama anavyopenda madaraka hiyo kujiuzulu ilikua danganya toto..!
Hivi nje ya hii "kumpiga risasi" ndani ya hicho kitabu Kuna Nini kingine!?
Ebanaeee thibitisha hiiYeye ndo inatakiwa athibitishe kwamba Samia alitaka kubakwa maana yeye ndo katuhumu
Narudi kesho Dar mkuu, kama upo njia ya bagamoyo nikupitishie japo bohora moja unywe mbegeMbege iko wapi jamani, maana napenda sana.
Mzee unaongea pumba many people who are public figure at one time huwa wako shaggy especially wanapoDIG vitu.Mtazame Dr Ndlozi wa EFF,kumbuka kipindi Zitto wakat flan alipokua anatoa madini,look even at Diamond Platinum and so on and on!View attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
Elewa mambo au omba ueleweshwe. Raisi haruhusiwi kutembea na silaha anapotembelea nchi nyingine, sio ndani ya nchi yake mwenyewe. Hakuna taratibu zinazosimamia maraisi ndani ya nchi zo wenyeweHii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru
Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao
Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege
Mlale unono😀
Unataka kuniambia Lissu alipigwa risasi na majambazi?Huo ushahidi usio na shaka kuwa Magufuli ni muuaji uko wapi?
Kusema tu Magufuli ni muuaji siyo ushahidi kuwa yeye ni muuaji.
Kinacho fanya mwanaume aolewe ni tamaa sio jela mtaani wanashika ukuta kwa taama zaoHakuolewa huko jela?
Inawezekana wana undugu.Hili sasa ni povu, una undugu na JPM nini?
Mzee unaongea pumba many people who are public figure at one time huwa wako shaggy especially wanapoDIG vitu.Mtazame Dr Ndlozi wa EFF,kumbuka kipindi Zitto wakat flan alipokua anatoa madini,look even at Diamond Platinum and so on and on!
Shida ni kuwa umekaririshwa kwa kuiga kuwa black hair/black beard ni uchafu.UJINGA MTUPU