Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

....kipengele sana....
Wenye mawazo kama yako siwatofautishi na Raia wa Zaire waliomuua P. Lumumba kwa mikono Yao. Na Zaire iliadhibiwa kwa dhambi hii.Hata hivyo, hapa wataadhibiwa wale tu walio na wanaofanya dhambi ya namna hii haitaadhibiwa nchi nzima!!
 
Kwenye ile video ya JPM kwenda kuhakiki silaha zake (bastola na shotgun) alitoa bastola yanye magazine na risasi ndani yake.

Sio hivyo tu, baada ya kumaliza kuhakiki, alikabidhiwa risasi za shotgun yake na akaziweka kwenye bunduki kwa mkono wake kisha akasepa na mashine zake.

Tafuta ile video uangalie upya, acha theory zisizo na uhalisia.
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot from the jump.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Mzee unaongea pumba many people who are public figure at one time huwa wako shaggy especially wanapoDIG vitu.Mtazame Dr Ndlozi wa EFF,kumbuka kipindi Zitto wakat flan alipokua anatoa madini,look even at Diamond Platinum and so on and on!
Shida ni kuwa umekaririshwa kwa kuiga kuwa black hair/black beard ni uchafu.UJINGA MTUPU
 
Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru

Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao

Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege

Mlale unono😀
Elewa mambo au omba ueleweshwe. Raisi haruhusiwi kutembea na silaha anapotembelea nchi nyingine, sio ndani ya nchi yake mwenyewe. Hakuna taratibu zinazosimamia maraisi ndani ya nchi zo wenyewe

Sasa wewe ndio unatakiwa usisikilize story za kwenye vikao vya mbege
 
Mzee unaongea pumba many people who are public figure at one time huwa wako shaggy especially wanapoDIG vitu.Mtazame Dr Ndlozi wa EFF,kumbuka kipindi Zitto wakat flan alipokua anatoa madini,look even at Diamond Platinum and so on and on!
Shida ni kuwa umekaririshwa kwa kuiga kuwa black hair/black beard ni uchafu.UJINGA MTUPU
IMG_7283.jpeg
 
Back
Top Bottom