Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kabendera kuna mambo mengi sana anaandika "there are rumours", "it is rumoured", "it is believed".

Hii si standard nzuri ya uandishi.
 
..niko upande wa chiba.

..makengeza amechoka mno.

..wewe fikiria mwaka mpya umeingia halafu wanachama na wapenzi hatusikii toka kwa mwenyekiti.

..awapishe wengine awe mshauri wa chama.
Mkuu, this is unworthy of you. Wewe una reputation kubwa sana humu JF ujue. Kutoa lugha za kukejeli maumbile ya mtu mbele ya kadamnasi si sahihi..
 
Mkuu, this is unworthy of you. Wewe una reputation kubwa sana humu JF ujue. Kutoa lugha za kukejeli maumbile ya mtu mbele ya kadamnasi si sahihi..

..Ni kwasababu aliyeniuliza swali hutumia lugha zisizo na staha kwa viongozi hao.

..samahani kwa kukukwaza, na kwa heshima yako nitarekebisha post yangu.
 
..Ni kwasababu aliyeniuliza swali hutumia lugha zisizo na staha kwa viongozi hao.

..samahani kwa kukukwaza, na kwa heshima yako nitarekebisha post yangu.
Poa mkuu wangu. Tupo pamoja.

We humans (all of us) are prone to making mistakes..
 
Kitabu kinauzwa Amazon.com hata tukisema tukubaliane kizuiliwe (hatujakubaliana, tuseme tumekubaliana tu for the sake of argument).

Unakizuiaje kitabu kilichopo Amazon ambacho unaweza kuagiza physical copy au hata kukisoma kwenye Kindle system ambayo una download tu kitabu ukiwa chumbani mwako?
 
Kwani huyo Ben Saanane kafa..!? Hata hivyo nautamani sana UTAWALA WA MAGUFULI hata kama ni mimi na kiherehere cha kutibua kwenye mambo ya msingi na niuliwe tu ili iwe fundisho..!

Punda hendi pasi na mijeledi🙂
 
Sisi wengine tunamuamini Kabendera.
Hayo yako baki nayo mwenyewe
 
Serikali
Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Serikali Ikikaa kimya ujue ni kweli. Kama sio kweli jitihada zitafanyika ili kukanusha maneno hayo makubwa na tuhuma hizo nzito
 
Labda utoe wewe ushahidi kuwa hahusiki alafu yeye ataleta wake
 
Kitabu kile kwa sasa, ni kikubwa sana.
Shida ni pale mjinga anaetaka kuua Mende kwa Nyundo.
Madhara yake ndo hayo.

Tembelea Amazon.

Kwa sasa kitabu kjle,hakihitaji promo za Media zenu za kipumbavu.
Bali kwa Sasa ni kama WEBSITE za ngono,mnazotembelea kimya kimya unapakua unanyuti.

Ila watanzania 🤣🤣🤣🤣,hujui kuwa umekipromote pia na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…