Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Hii sio story ya kutunga ni ukweli kabisa. Hakuna chochote kilixhobadirika kati ya aliyosema Kabendera na niliyoyasikia mimi pia almost 5 years ago. So huu sio uongo ni ukweli kabisa!
Kwenye ulimwengu wa maandishi yenye kuleta nafasi chanya, hakuna story za kusadikika. Kuna namna nzuri ya kuandika ili zilete mvuto. Na nina hakika alisimuliwa na mahasimu wa JPM ili aandike aliyoandika.
Isipokuwa kuna kuwajibika pia kama huna supporting evidence. Kabendera anajua fika uwajibikaji ukoje