Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Hii sio story ya kutunga ni ukweli kabisa. Hakuna chochote kilixhobadirika kati ya aliyosema Kabendera na niliyoyasikia mimi pia almost 5 years ago. So huu sio uongo ni ukweli kabisa!

Kwenye ulimwengu wa maandishi yenye kuleta nafasi chanya, hakuna story za kusadikika. Kuna namna nzuri ya kuandika ili zilete mvuto. Na nina hakika alisimuliwa na mahasimu wa JPM ili aandike aliyoandika.
Isipokuwa kuna kuwajibika pia kama huna supporting evidence. Kabendera anajua fika uwajibikaji ukoje
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
H🤣🤣ii inatwa kimaumana
 
Go youtube, search his interview with Sheikh Ghasan. You will hear what evidences he has.
Yaani Tuanza kuhoji Yale aliyoandika Rais Mwinyi au aliyoandika Ben Mkapa kwamba tunataka ushahidi wa aliyoandika?

Hii ndio inaitwa repercusion
 
Kwenye ulimwengu wa maandishi yenye kuleta nafasi chanya, hakuna story za kusadikika. Kuna namna nzuri ya kuandika ili zilete mvuto. Na nina hakika alisimuliwa na mahasimu wa JPM ili aandike aliyoandika.
Isipokuwa kuna kuwajibika pia kama huna supporting evidence. Kabendera anajua fika uwajibikaji ukoje
Kimeumana......to every action there an equal reaction
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Yule bwana licha ya kuwa na Walinzi wa Kila aina wenye masilaha mazito ila mara kadhaa alikuwa spotted na bastola kiunoni sijui Kwa nini hasa.
 
Nina hakika kama wafu wanafufuka, akirudi ukimbie mbali maana alikuwa anachagua aina ya machawa 😂 😂 😂
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Kabendera will pay the price worth of his puppet and mercenary deeds!!!
 
Kweni Familia haijui kama alikuwa ni katili na muuaji, hebu tazama alipokufa Famila ilivyonawiri.
Mjane kanawiri sana usikute na yeye keshaoda copy yake ili asome yaliyomo.
Dah ila watunza regasi wa marehemu yule wanapata tabu kwelikweli ya kutetea regasi ya marehemu.
Dah ila marehemu naye alikuwa na mambo ya kiwaki sana yaani badala ya kuomba mzigo wa bi mkubwa sa100 kistaarabu yeye akataka kulazimisha hii ni kuzidi kuthibitisha hulka yake ya kupenda kutumia mamlaka aliyo nayo kudhuru wengine
 
Unatengenezaje hofu, utii , na kuogopwa?? Ni kutenda jambo la kikatili wewe mwenyew sio kuagiza. Nadhani nmeeleweka
 
Bado hujatoboa?

Nauza kilicho hai wewe unatetea matiti 🤣🤣

ukiona mwanadamu anamuabudu mwanadamu mwingine... 😂 😂 😂 😂

Halafu soma na hii pia

Back
Top Bottom