hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Hao wanaomkosoa mleta mada hapa ndani ni TISS wenyewe.
Kwa mtanzania ambae ana akili sawasawa hakuna anayekubaliana na vitendo haram alivyofanya bwana jiwe
Wewe au familia yako ilifanyiwa kitendo gani?