Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

..kama madai kuwa Magufuli alimshoot Ben Saanane ni ya kweli, Magufuli hatokuwa Raisi wa kwanza dunia hii kuua mtu.
Nakazia na kwa hulka yake na historia yake, Magufuli hana tofauti na hao marais duniani walioua watu tena ndani ya Ikulu.

Nadokezwa kuwa aliyekuwa Rais wa Uganda, Field Marshal Dr, Al Haj Idi Amin Dada, tendo kama hilo lilikuwa la kawaida tu!
 
Basi kila mtu ashinde mechi zake.

Mimi source yangu iliambia hayo mwaka 2020 suala ambalo limekuja kuthibitishwa na Kitabu cha Kabendera kilichotoka hivi karibuni.

Wewe source yako inasema uongo leo baada ya Kabendera ku confirm taarifa za source yangu after 5 years.

Kama unaakili utaelewa mwenyewe kama umepewa taarifa za uongo au za kweli

Source yangu Ipo idara nyeti haiwezi kusema uongo. Trust me Bro
 
kama rais wa nchi anafanya vituko km hvyo nakuna tiss.nini kazi ya tiss
Maafisa wa tiss ni wateule wa rais, unafikini hapa pana tiss ya kuaminika?

Tukisema tudai katiba mpya, mnakuja na ngonjela katiba haileti ugali mezani😡
 
Magufuli atabaki midomoni mwa watu mpaka kiama ndio raisi aliyefanya mageuzwi makubwa kwa wazembe na mafisadi katika karne hii ya kuogopana na kuleana!
Amefanya mageuzi makubwa pamoja na kumpiga risasi Ben Saanane...siyo
 
Wazungu mabepari hawakumpenda Magufuli kwa sababu ya sera zake za kusimamia mali za Nchi !
Na walipoona almost Afrika yote Wananchi wanamsifu Magufuli wakajua huyu atawajanjarusha waliolala !

Kwahiyo ukiona kwa sasa mapuppets ni wengi wanaojaribu kuharibu Legacy ya mwamba usishangae !

Ila Afrika kunaanza kupambazuka tena akina Magufuli watatokeza sana Nchi mbali mbali humu Barani !

Ukimsikiliza Ibrahim Traore utaona fikra zake ni zile zile za Magufuliism 😳 🙏
Haya mawazo huwa nayapenda sana ila nikirudi kwenye uhalisia, teknolojia na bajeti nakumbuka kuwa wazungu wakitaka kutuangusha hawahitaji kutumia nguvu kama tunavyojiaminisha.
 
Magufuli atabaki midomoni mwa watu mpaka kiama ndio raisi aliyefanya mageuzwi makubwa kwa wazembe na mafisadi katika karne hii ya kuogopana na kuleana!
Idiamini dadaa leo yuko midomoni kwa waganda na watanzania je kwa mazuri gar alifanya kukaa midomoni kwa
Watu unaweza ukakaa kwa meng ila sio lazma yawe mazur tena kwa mabaya ndo ukaa sana akilini kwa watu
Osama bin laden
Nazi german
 
Mkuu,

Usihusishe Wasukuma na ujinga wa Magufuli.

Kwanza Magufuli hakuna ukoo wa Wasukuma unaomtambua, sisi tunawajua kina Bomani, kina Nyalali, Magufuli Msukuma wa ukoo gani?

Hawa wengine ni Wakonongo wakikaa kwa Wasukuma na kujua lugha wanajiita Wasukuma kwa sababu Wasukuma jina letu kubwa 😂😂😂
Kweli mkuu,nyie watani zangu pia mna ujinga mwingi.
 
Back
Top Bottom