Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo wanavyomkumbuka hivyo.huenda hata huyo kabendela ni kibendera tu wenye mradi wengine.Hawatamsahau magu hao kenge!!
nafikiri kama unavofikiriAmesema chanzo ni kutoka kwa top government officials na opposition leaders, nadhani anaweza kuthibitisha hilo kwa vyombo husika. Serikali ikimnyamazia basi Wananchi tutajua imemtuma achapishe hicho kitabu.
Mkuu, this is unworthy of you. Wewe una reputation kubwa sana humu JF ujue. Kutoa lugha za kukejeli maumbile ya mtu mbele ya kadamnasi si sahihi....niko upande wa chiba.
..makengeza amechoka mno.
..wewe fikiria mwaka mpya umeingia halafu wanachama na wapenzi hatusikii toka kwa mwenyekiti.
..awapishe wengine awe mshauri wa chama.
Mkuu, this is unworthy of you. Wewe una reputation kubwa sana humu JF ujue. Kutoa lugha za kukejeli maumbile ya mtu mbele ya kadamnasi si sahihi..
Poa mkuu wangu. Tupo pamoja...Ni kwasababu aliyeniuliza swali hutumia lugha zisizo na staha kwa viongozi hao.
..samahani kwa kukukwaza, na kwa heshima yako nitarekebisha post yangu.
Kitabu kinauzwa Amazon.com hata tukisema tukubaliane kizuiliwe (hatujakubaliana, tuseme tumekubaliana tu for the sake of argument).Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Sisi wengine tunamuamini Kabendera.Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
UtanaswaIla mrembo siku moja moja uwe unapitia hata hapa ghetto na kuacha ulimbo kidogo sio mbaya
Ni story za marehemu, nyimbo za maombolezo ni za taratibu, Sio sebeneHiki kitabu niaje…..mbona stori zake zimepoa sana?
Serikali Ikikaa kimya ujue ni kweli. Kama sio kweli jitihada zitafanyika ili kukanusha maneno hayo makubwa na tuhuma hizo nzitoKaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Tayari itakua ni kweli maana serikali imekaa kimyaaSerikali
Serikali Ikikaa kimya ujue ni kweli. Kama sio kweli jitihada zitafanyika ili kukanusha maneno hayo makubwa na tuhuma hizo nzito
Kimepoaje,wakati wewe mwenyewe upo unakipromote😄😄 ila watanzania.Hiki kitabu niaje…..mbona stori zake zimepoa sana?