Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Lissu kuna siku akihojiwa na BBC aliwahi kusema msaidizi wa JPM amekufa kwa Corona AKIWA ANAHOJIWA BBC ( kiukweli nilimdharau sana Lissu hapa).

Leo Kabendera naye anakuja na hii story kwa story za kuambiwa bila kujua JPM anamaadui wengi ambao shida yao ni kuififisha legacy ya JPM wakati ukweli uko wazi.
 
Kufanya mazuri mengi hakuzui kufanya baya kubwa moja
Maswali magumu hayaitaji majibu mepesi.
Saanane alikuwa ameandika makala ya utata wa degree ya Magufuli kipindi kirefu nyuma ,humu humu Jamii Forum nadhani Magu akiwa bado ni Waziri,

Iweje Magu ameisha kuwa Raisi amuite Ikulu harafu ampige risasi ya kichwa kwa habari za zamani,baadae wamtupe mto Rufiji sijui aliwe na mamba?

Kabendera ameandika liwaya tunataka ushahidi sio ngonjela.
Kwa mbali naota Publisher Amazon akilipa serikali na familia ya Magu kitita kisichopungua dollar millioni 500.kwa kuchapisha habari zisizo na ushahidi.
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Hiyo picha aliyotumia kuiweka kwenye kitabu chake cha kishenzi mbona JPM alienda mwenyewe kwenye mamlaka inahusika na uhakiki wa silaha tena hadharani. Kwanini aitumia kutoa tuhuma hizo halafu aachwe tu bila kuthibitisha kwamba JPM alimpiga risasi BenSaa8?

Familia ya Magufuli wasijihusishe kulumbana na huyo mwandishi Mkenya/Mganda ila wananchi walioguswa na tuhuma hizo ndio wafungue kesi wamtake athibishe mahakamani kwa ushahidi na mashahidi halisi walioshuhudia mauwaji hayo.

Badala ya kuushambulia utawala uliopo kwa kukithiri uvunjifu wa haki za biandamu kutwa kuchwa JPM!!!
 
Alichokiandika kibaki kama tuhuma. Akishakutwa na makosa pasi na shaka ndipo kinaweza kufungiwa. Mahakama ikimkuta na hatia na kushtakiwa pasipo 'mchongo' hatua stahiki dhidi yake zinaweza kumuandama.
 
Hakuna wa kumlinganisha na Erick Kabendera, yule ni kichwa, kuandikia the Economist inabidi uwe na hoja. Economist siyo Mzalendo au Uhuru.
Mkuu,

Tatizo hapa tunabishana na watu ambao hata hawajui The Economist ni nini.

Wanaleta ushabiki wa Simba na Yanga kwenye mjadala unaotaka mantiki na fikra dhahania.
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Ushahidi gani unahitaji! Rais mzima anatembea na pistol kiunoni, huoni ni ajabu!
 
Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Serikali hii ya vilaza!
 
Sasa vyombo vyake vya uchunguzi toka mwaka 2016 vimetoa majibu gani kuhusu kupotea kwa Ben Saanane?
Nani alimshambulia Lissu? Kwa nini hakuna aliyekamatwa toka 2017?

Ukishindwa kutuonyesha majibu ya vyombo vya dola kwa haya machache jipige ngumi kifuani sema " mimi ni juha na chawa wa muuaji Magufuli "
 
Back
Top Bottom