Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #221
Nani anapaswa kuthibitisha kilichoandikwa ni ukweli?kwa hiyo mkuu umemaanisha watanzania hawawezi kuongea /kuandika ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anapaswa kuthibitisha kilichoandikwa ni ukweli?kwa hiyo mkuu umemaanisha watanzania hawawezi kuongea /kuandika ukweli
mwandishi, so vyombo husika vimtafute na kumuhoji athibitishe tuhuma zakeNani anapaswa kuthibitisha kilichoandikwa ni ukweli?
Hata hawa ma Sir John hawatoki TzHuyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Tuko pamojamwandishi, so vyombo husika vimtafute na kumuhoji athibitishe tuhuma zake
Sawa gavanaHata hawa ma Sir John hawatoki Tz
Maswali magumu hayaitaji majibu mepesi.Kufanya mazuri mengi hakuzui kufanya baya kubwa moja
Hiyo picha aliyotumia kuiweka kwenye kitabu chake cha kishenzi mbona JPM alienda mwenyewe kwenye mamlaka inahusika na uhakiki wa silaha tena hadharani. Kwanini aitumia kutoa tuhuma hizo halafu aachwe tu bila kuthibitisha kwamba JPM alimpiga risasi BenSaa8?Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Mkuu,Hakuna wa kumlinganisha na Erick Kabendera, yule ni kichwa, kuandikia the Economist inabidi uwe na hoja. Economist siyo Mzalendo au Uhuru.
Unaishauri serikali au unaishurutisha?Siwezi kumpeleka mahakamani Mimi. Bali serikali itamtaka athibitishe alichokiandika Magufuli hakuwa mtu binafsi alikua kiongozi wa umma Tena Rais wa nchi na ametuhumiwa hayo akiwa ikulu.
'Shot him in the head'!!!!????He was taken to state house where a president who always carried a gun "Personally" Shot him in the Head.
Ushahidi gani unahitaji! Rais mzima anatembea na pistol kiunoni, huoni ni ajabu!Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
🚮🚮🚮Huyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Serikali hii ya vilaza!Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Sasa vyombo vyake vya uchunguzi toka mwaka 2016 vimetoa majibu gani kuhusu kupotea kwa Ben Saanane?Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Mwechai killing ndio nini wewe fanatic?K
Kipigwe marufuku kama cha mwechai killing?
Atajitetea kuzimu muuaji mkubwaInasikitisha Sana kumuongelea marehemu ambaye hawezi kujitetea