Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kwa kawaida ukweli unaumiza, hivyo hizi nyuzi zako unazoanzisha leo zinaonyesha ni kwa kiwango gani ukweli wake umekuumiza.
Niliwahi kuwaambia washabiki wa Magufuli kwamba;yeye aliumiza watu fizikale lakini wakae kwa kutulia maana wao wataumizwa kisaikolojia hadi walie midomo juu kama punda vichaa.
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot from the jump.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Hivi huyu Erick Kabendera ana uhusiano na Kabendera Shinani aliyejiua kwa kujitupa majini pale Kastamu Bukoba?
 
Hili la kibaka si vyema kuliandika.
Ila suala linalohusu uhai wa Ben Saanane ni bora likawekwa wazi kabisa.
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
 
Labda Nyani Ngabu hajui. Huyo Kabendera sio mjinga na chuo anakosoma Kings college London ni Katika vyuo vikuu 50 bora duniani. Yeye anafanya Ph.D hapo.

Hilo gazeti la the Guardian analoandikia ndilo linaongoza kwa habari za uchunguzi duniani. Mambo ya radar na pesa kufichwa huko visiwani ni wao walichunguza. Ni gazeti halipo kwa ajili ya faida na hupatikana bure.
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot from the jump.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Nimeagiza kitabu chake nitakisoma chote bila kujali ndevu,nywele,sharubu,mustachi au mav.zi.
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot from the jump.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Ndugu, unapata wapi ujasiri wa kuponda muonekano wa mwanaume mwenzako! Ungetuwekea basi na wewe picha yako, ili na sisi tukutathmini kama unaona ni sahihi.
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot from the jump.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Umeanza maandiko ya kike. Yaani yule dem kwa mbali anamuangalia Kabendera tayari umeanza kuvaa, kufua na kuanika Kanga zenye maneno yenye mipasho..
Growup mkuu, you far better than this
 
Back
Top Bottom