Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Niliwahi kuwaambia washabiki wa Magufuli kwamba;yeye aliumiza watu fizikale lakini wakae kwa kutulia maana wao wataumizwa kisaikolojia hadi walie midomo juu kama punda vichaa.Kwa kawaida ukweli unaumiza, hivyo hizi nyuzi zako unazoanzisha leo zinaonyesha ni kwa kiwango gani ukweli wake umekuumiza.