Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ni vigumu kumtofauti na yule anayemtuhumuMaximum povu...#
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vigumu kumtofauti na yule anayemtuhumuMaximum povu...#
Hizi hizi mkuu.Mahakama zipi au hizi hizi zizazo laumiwa kila siku?
Alipigwa risasi na Mbowe.Unataka kuniambia Lissu alipigwa risasi na majambazi?
Sio uungwana kutetea muuaji, hata kama ni wa kutoka kabila lako.
Alipigwa risasi na Mbowe.
Kama kweli kwa nini lisiandikwe?Hili la kibaka si vyema kuliandika.
Ila suala linalohusu uhai wa Ben Saanane ni bora likawekwa wazi kabisa.
Ingemchukulia hatua mngesema inamuonea.Na serikali ya Magufuli ikashindwa kumchukulia hatua Mbowe!
Ndio maana nimesema BBC, CNN, VOA au Aljazeera wamuhoji kuhusu haya madai kwani ni wazi anajua mengiKwani nani kakuambia kaandika hapo tu? Huo ni utangulizi tu. Tafuta kitabu chote na ukisome.
Kabendera ni mwanafunzi wa Ph. D wa King’s College of London moja ya vyuo vikuu bora 20 hapa duniani.
Huyo ni mtafiti wa kweli kweli na sio hao machawa.
Hao Guardian anaowaandikia Ndio gazeti bingwa duniani kwa uchunguzi wa matukio mazito. Wana ujuzi wa kutosha.
Inasemekana lakini pia , kipipa alikuwa ana toroka peke yake usiku akiwa na Benz, akianaenda kumtafuna dada wa kichaga.Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;
Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?
Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
Put up or shut up.Hata hili nalo bado linamuonyesha kabendera hayuko timamu akilini
Hahahaaaa! So outlandish.Yani Magufuli abake mtu mzima kama Samia? That case is beyond hatred. Out of all girls aliokuwa na access nao achague kubaka mtu mzima.
Hii picha ni siku anatoka gerezani alikokua amefungwa kwa hili, ulitaka akitoka akimbilie saluni? Au Siku Hizi ukiwa rumande unaruhusiwa kunyoa na kuvaa suti??View attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
Hii picha ni siku anatoka gerezani alikokua amefungwa kwa hili, ulitaka akitoka akimbilie saluni? Au Siku Hizi ukiwa rumande unaruhusiwa kunyoa na kuvaa suti??
Don’t give AF.Hii picha ni siku anatoka gerezani alikokua amefungwa kwa hili, ulitaka akitoka akimbilie saluni? Au Siku Hizi ukiwa rumande unaruhusiwa kunyoa na kuvaa suti??
Hao mbona kama Hamas.
Tuache kuokoteza picha, hao ni mabosi wa IPTL wakitoka gerezani. Same na Erick hapo juu. Tutafute SABABU nyingineView attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
Don’t give AF.
He looks musty and has bad breath.
Mabosi wa IPTL hao, walikua wanaingiza mamilion kwa siku, hizo ni picha halisi wakiwa hawaongei kizungu tena.Hao mbona kama Hamas.
Oh Kumbe. Wamefanana na akina Haniya na Nasrala wale wa Hamas.Tuache kuokoteza picha, hao ni mabosi wa IPTL wakitoka gerezani. Same na Erick hapo juu. Tutafute SABABU nyingine
View attachment 3190984